LGE2024 Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Unatafuta jambo gumu zaidi wakati jepesi hata bado hujalitumia?
Kama chama kinashindwa kutumia mtaji wake mkuu wa wanachama mamilioni kuonyesha uwepo wake; itawezekana vipi hiyo "Armed struggle" unayo isema hapa!
🙋‍♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏🏅🗼
 
Mdude anahusika, kwanza alishatishia kuua zaidi ya mara moja, jumba bovu limuhusu. Apelekwe Mahakamani hata ijumaa ijayo baada ya uchaguzi, na ili apelekwe mpaka habeas corpus ifanywe Mahakamani.

Achekechwe kwa miezi kama 12, maana ni muhalifu.
 
Kwa nini ccm haiwezi kujibu hoja wanakimbikia polisi???
Kwa nini polisi wabajipendekeza kwa ccm ?,
 
Mkuu kwa dunia ya sasa hiyo mbinu haikupeleki popote.

Njia pekee ni kuwaondoa viongozi mapandikizi na kutumia mbinu ya maandamano ya amani na migomo inapobidi!!

Wiki mbili tu uone kama watawala hawataita maridhiano.
Yaani niache shughuli zangu zinazonipa ugali nikaandamane ili Lissu na Mbowe wakae meza kuu, watanzania hatuba ujinga huo
 
Yaani niache shughuli zangu zinazonipa ugali nikaandamane ili Lissu na Mbowe wakae meza kuu, watanzania hatuba ujinga huo
Mkuu ni maoni na uhuru wako kama ulivyo uhuru na maoni ya wengine kufanya hivyo.

Kwenye harakati za ukombozi kukutana na watu sampuli yako haishangazi kiviiile!!!
 
Mdude anahusika, kwanza alishatishia kuua zaidi ya mara moja, jumba bovu limuhusu. Apelekwe Mahakamani hata ijumaa ijayo baada ya uchaguzi, na ili apelekwe mpaka habeas corpus ifanywe Mahakamani.

Achekechwe kwa miezi kama 12, maana ni muhalifu.
Mkuu sema ni mtuhumiwa, mbona unahitimisha kuwa ni muhalifu wakati huo huo unasema achekechwe???

Inaelekea una ugomvi naye binafsi, kakufanyaje wewe binafsi??
 
CHADEMA ni genge la wahuni kitambo sana. Ndio maana Mchungaji Msigwa aliachana nao.
 
Mkuu ni maoni na uhuru wako kama ulivyo uhuru na maoni ya wengine kufanya hivyo.

Kwenye harakati za ukombozi kukutana na watu sampuli yako haishangazi kiviiile!!!
Unakomboa nini? Nchi ilishakombolewa Disemba 9 1961
 
Sasa hii ndio kazi za R's ama?
 
Wanamuachilia Mdude wa nini? Niliona amepewa ngumu ya uso 😂😂
 
Unakomboa nini? Nchi ilishakombolewa Disemba 9 1961
Mkuu nchi haikukombolewa pitia rejea kikamilifu, nchi ilikabidhiwa kwa mchonga kwa sababu muda ulikuwa umewadia.

Kama ilivyokabidhiwa kwa waingereza kutoka kwa wajerumani chini ya UNO.
 
CHADEMA ni genge la wahuni kitambo sana. Ndio maana Mchungaji Msigwa aliachana nao.
Mkuu kama ndivyo, basi Msigwa atakuwa ni kiongozi mkuu kwenye kada hiyo!! Maana kafuzu kuingia chuo kikuu kilichobobea kwenye nyanja hiyo
 
Agenda ya vurugu na drama ni agenda ambayo chakademus wanaipatia sana
 
wajifunze kuheshimu ratiba za kampeni, na kutii utaratibu na maelekezo ya vyombo vya ulinzi, sio kujiamilia tu kwa kuchochewa na kiburi naeujasiri wa pombe..

Muhimu zaidi, waepuke kutumia kilevi kabla ya kuanza kampeni. Wafanye hivyo baada na itapendeza zaidi 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…