Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika.
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa haja ndogo ni 3 tu ndio zinatumiwa, nyingine ni mbovu.
MKURUGENZI – TUNDUMA
Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hamashauri ya Mji wa Tunduma, Mariam Chaurembo, Mariam Chaurembo amesema “Changamoto ilikuwa katika njia ya kupitisha haja ndogo, Mhandisi akatindua na kubaini tatizo, tayari limerekebishwa na sasa vinatumika vizuri.”
Ameongeza “Changamoto hiyo ilikuwepo kwa muda wa wiki mbili, hivyo ikazuiwa kutumika ili kurekebisha, nitoe wito kwa watumiaji nao watumie kwa usahihi kwa kuwa mifumo ya vyoo inapoharibika ni rahisi hata kutokea mlipuko wa magonjwa mbalimbali.”
Kuona ilivyokuwa awali, bofya hapa ~ Vyoo kituo cha mabasi Mpemba Tunduma ni vibovu, wahusika rekebisheni
Ilivyokuwa awali