Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi Maalumu Hapa Duniani,Kwa hakika Mama Samia Ana Sehemu yake Katika Mioyo ya watanzania Ambayo huwezi kukaa na Kumuondoa wewe Mtu mwingine.
Haijapata Kutokea Watu wanaimba jina la Rais mitaani kote Utafikiri wimbo wa Taifa,haijapata kutokea RAIS anapendwa na watanzania Utafikiri ni Mama Mzazi wa Kuwazaa Watanzania wote. Rais Hakauki midomoni mwa Watu utafikiri chemchemi ya maji inatiririka midomoni mwa watanzania.
Songwe Imejikuta ikibubujikwa na machozi ya Furaha na kumshukuru Rais Samia Baada ya kupewa Majiko ya Gas yaliyojaa hadi juu kwa Bei ya Ruzuku sawa na Bure kabisa. Zoezi hilo la kugawa majiko hayo ya Gas limefanywa na REA mkoani Songwe na kuwaacha mamia kwa mamia ya wananchi wakishangilia mitaani kote na katika barabara zote huku wakiwa wamebeba majiko yao kichwani Utafikiri bendera ya uhuru iliyowekwa katika kilele cha mlima Kilimanjaro na kupepea muda wote.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wengine wamefikia hatua ya kubeba mabango ya Rais Samia na kutembea nayo Mitaani na kutamka waziwazi bila hofu kuwa Mama Samia ndiye Rais wa Mioyo ya watanzania, Ndiye kipenzi chao na ndiye chaguo lao. Wakati hayo yakifanyika watu mbalimbali wamekuwa wakishangilia kwa kelele za shangwe na Nderemo kuishangilia picha ya Rais Samia na kuiinua juu juu na kuimba RAIS Rais RAIS Rais MaMa Mama Mama Mama.
Kwa hakika usishindane na aliyepewa kibali na Mungu na wala huwezi kumshinda wala kumshusha aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.