Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
eti bwana lucas kama watu hawakuwa na uwezo wa kununua majiko ya gesi kwa pesa zao, gas ikiwaishia wataweza kuijaza kweli ??...

Shida ni kupata gas au uwezo wa kununua kila mara inapoisha au kuna mpango wowote wa kuhakikisha wananchi wana uwezo kumudu gharama za gas
Hiki kiwango ulichotumia kuwaza na kuuliza swali, kinazadi uwezo alionao Luka.
 
Kwahiyo kwamba Samia ni chaguo la Mungu sio?sasa unadhani rais yupi alikuwa chaguo au mteule wa shetani? hovyo kweli

Unasahau hadi Saul kabla ya king David alikuwa mteule wa Mungu lakini unajua nini kilimkuta?subiri Trump gia aliyoanza nayo asipobadilisha mbona machozi yakububujikwa yataisha tu
 
Masikini wakubwa wa mali na akili nyie.

Yani kitu basic kama cylinder ya gesi ya kupikia ndio mnaweka bango kutoa pongezi?
Acha wivu wako hapa wewe. Unajua namna watu walivyokuwa wakiteseka kwa kupikia kuni mbichi zenye kutoa moshi muda wote kama gari bovu.
 
Jibu swali langu acha kuruka ruka kama kunguru.
Nazijua bei zake kwa sababu natumia. Kuna mtungi wa gesi utaujaza chini ya 19,000 ?...

Na hapo huwezi kuinjika makande wala maharage zaidi ya kupikia vitu vinavyoiva kwa uharaka..

Hapa sizungumzii siasa zako Ila angalia sustainability
 
Kwahiyo kwamba Samia ni chaguo la Mungu sio?sasa unadhani rais yupi alikuwa chaguo au mteule wa shetani? hovyo kweli

Unasahau hadi Saul kabla ya king David alikuwa mteule wa Mungu lakini unajua nini kilimkuta?subiri Trump gia aliyoanza nayo asipobadilisha mbona machozi yakububujikwa yataisha tu
Kwani Trump ni Nani katika Taifa letu?
 
Nazijua bei zake kwa sababu natumia. Kuna mtungi wa gesi utaujaza chini ya 19,000 ?...

Na hapo huwezi kuinjika makande wala maharage zaidi ya kupikia vitu vinavyoiva kwa uharaka..

Hapa sizungumzii siasa zako Ila angalia sustainability
Acha umbumbumbu wako hapa wewe. Jibu swali mtungi wa gas uliojaa kabisa unanunuliwa shilingi ngapi dukani au kwa wakala?
 
Back
Top Bottom