Pre GE2025 Songwe yabubujikwa na machozi ya furaha na kumshukuru Rais Samia baada ya kupewa Majiko ya Gesi ya Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
USAID ni nini katika taifa lenu? Bajeti yako wewe mpaka unapata muda wa kuita mzazi wa Wanu na Abdul mama yako unajua mfadhili ni nani?
Akili za huyu Luka ni dhair aliyemzaa anamuita Bi mkubwa! Jina Mama yeye anadhani ni Cheo cha Samia!
 
Akili za huyu Luka ni dhair aliyemzaa anamuita Bi mkubwa! Jina Mama yeye anadhani ni Cheo cha Samia!
Huyu kuna muda nawaza ni roboti sio binadamu(ndio kuna watu siku hizi wanajiita sijui chawa,wapambe lakini huyu kapitiliza sasa)
 
Kwanza umesema wananchi katika barabara zote???😃😃😃unaifahamu mwakabenga road???unaifahamu mpande road?? Unaifahamu jakaya road???au boymanda road??? Mbona zote hizo hatujawaona wakibubujikwa na hayo machozi?? Au unazungumzia songwe ipi labda
 
Ungewauliza wanawake wenzako adha za kupikia kuni mbichi zinazotoa moshi muda wote na athari zake kiafya . Sasa najua huwezi kuelewa kwa sababu moshi Umeshakujaa kichwani na kukuathiri akili.
Hakuna athari zozote huu huwa ni UONGO wa wanasiasa uchwara unaotumika siku za hivi karibuni ili kutimiliza agenda zao,...hivi wee hujiulizi babu zako wametumia kuni na mkaa toka enzi za ujana wao mpaka wakawazaa wazazi wako bila kupata hayo madhara, haya wazazi wako wametumia kuni na mkaa mpaka wamekupata wewe hawajapata hayo madhara, wewe mwenyewe(kichwa box) naamini umetumia na unaendelea kutumia hizo kuni na mkaa lakini hayo madhara huna,anyway uzuri matumizi ya kuni na mkaa hayatakoma,uwe na gesi usiwe nayo bado utayahitaji
 
Sikiliza Mama nikwambie kitu. Hivi unafahamu ni kiasi gani misitu inateketea kwa sababu ya kuni na uchomaji mkaa?
 
We chawa mwambie huyo mama yako anapogawa hiyo mitungi kwa hao wapumbavu awe anawapa na pesa ya kujaza gesi kila itakapokuwa inaisha laa sivyo hiyo mitungi itabaki kuwa skrepa ya vyuma kila siku....hopeless chawa.
 
We chawa mwambie huyo mama yako anapogawa hiyo mitungi kwa hao wapumbavu awe anawapa na pesa ya kujaza gesi kila itakapokuwa inaisha laa sivyo hiyo mitungi itabaki kuwa skrepa ya vyuma kila siku....hopeless chawa.
Wewe ndiye mpumbavu usiye na akili
 


Kuna Title nikiona najua tu huyu ni chawa Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…