Sonia Magogo aendeleza ziara yake mkoani Tanga, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo katika ujenzi wa chama mkoani Tanga

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA.

Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo

Pia alikutana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Kidereko.

Screenshot_20200714-141755.png

#SoniaMagogoZiaraniHandeniMjini
 
Tupatie taarifa kuhusu wangombea wengine kupitia vyama vingine ni kina nani na nani?
 
Handeni inahitaji mabadiliko makubwa,

Miaka karibia 60 ya Uhuru lakini hadi leo imeshindaka kuwepo kwa huduma ya maji hata Handeni mjini penyewe.

Nazani ni vema zikawepo sura mpya labda itapelekea ufanisi
 
Tatizo la Handeni kila mtu mganga, vijana wadogo tu lakini silaha yao ni uganga na uchawi..

Ardhi ya handeni ni nzuri sana kulima mihogo, mamia na maelfu ya vijana wakilima mihogo na kuliflood solo la Dar, Arusha, Tanga na Moshi na Tanzania nzima then wachina, wathailand, indians, na wavietcong wakaja kujiongeza handeni itakuwa wilaya tajiri sana..

Ardhi ya handeni kuna maeneo kuna dhahabu nyingi sana tena iko juu kabisa, mkiwa majasiri kama vijana wa kisukuma mkaacha uganga mkatifua hiyo ardhi basi handeni inaweza kuwa na watu matajiri kama kahama na Geita, pigeni kazi wazigua acheni uganga na uchawi..
 
Nakuelewa Vema
Kila Nyumba Ina Bendera Nyekundu
 
Fikiria hadi maeneo ya hospitali ya wilaya (Bomani) maji ni shida,

Wananchi wanatoka mbali kwenda pale kupata huduma ya matibabu hawana ndugu wala nini lakini maji ni Shida tangu Uhuru [emoji87][emoji87]
 
Manaochuja wawagombea watu wanatarajia kuona sura mpya!

Chisokela suwe !
 
HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA.

Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo

Pia alikutana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Kidereko.

#SoniaMagogoZiaraniHandeniMjini
Polisi siwaoni hapa kwenye mkutano....
 
HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA.

Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo

Pia alikutana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Kidereko.

#SoniaMagogoZiaraniHandeniMjini
CUF WAMEPOTEA
 
Back
Top Bottom