CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Nakuelewa VemaTatizo la Handeni kila mtu mganga, vijana wadogo tu lakini silaha yao ni uganga na uchawi..
Ardhi ya handeni ni nzuri sana kulima mihogo, mamia na maelfu ya vijana wakilima mihogo na kuliflood solo la Dar, Arusha, Tanga na Moshi na Tanzania nzima then wachina, wathailand, indians, na wavietcong wakaja kujiongeza handeni itakuwa wilaya tajiri sana..
Ardhi ya handeni kuna maeneo kuna dhahabu nyingi sana tena iko juu kabisa, mkiwa majasiri kama vijana wa kisukuma mkaacha uganga mkatifua hiyo ardhi basi handeni inaweza kuwa na watu matajiri kama kahama na Geita, pigeni kazi wazigua acheni uganga na uchawi..
Polisi siwaoni hapa kwenye mkutano....HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA.
Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo
Pia alikutana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Kidereko.
#SoniaMagogoZiaraniHandeniMjini
CUF WAMEPOTEAHABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA.
Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo
Pia alikutana na Mgombea wa Udiwani Kata ya Kidereko.
#SoniaMagogoZiaraniHandeniMjini