Sonko akamatwa na kufunguliwa mashitaka ya ujambazi na vurugu

Sonko akamatwa na kufunguliwa mashitaka ya ujambazi na vurugu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

======

(KDRTV) – Embattled City politician Mike Sonko spent Monday night at Gigiri Police Station as detectives plan to arraign him in court.

According to sources at the Directorate of Criminal Investigations (DCI), the former Nairobi Governor is facing several charges, among them robbery with violence and assault.

Lawyers representing Sonko say they are still at the DCi and that they don’t know what offense he will be charged with… pic.twitter.com/29dZ1pknvL

— Ahmed Mohamed ((ASMALi)) (@Asmali77) February 1, 2021
Some of the alleged offences took place at a school in Buruburu in 2019.

The ex-County boss spent the better part of Monday afternoon with sleuths at DCI headquarters, recording a statement over claims he fuelled the 2017 post election violence.

Dear @DCI_Kenya & @Karanjakibicho
– This is Impunity! Wacheni Za Ovyo!
What Robbery with Violence happened here? All that @MikeSonko did was ppotect a Church and School from illegal Eviction. Sonko literally stood with #HustlerNation – Video Evidence – https://t.co/rpfgSUC3MF
— Dennis Itumbi, HSC (@OleItumbi) February 1, 2021
Sonko, at a rally in Dagoretti South on January 24, claimed that he worked together with Interior PS Karanja Kibicho and other state operatives to burn vehicles along Ngong road and blamed it on ODM supporters.

Kibicho moved to record a statement at DCI, prompting the Directorate to summon the former Makadara MP.

Earlier, the High Court had declined to stop Sonko’s date with sleuths despite the politicians lawyer filing an application under a certificate of urgency.

Justice James Makau set the hearing of the matter for February 28.

Sonko is accused of undermining a public officer and incitement to violence and disobedience of the law.

He told detectives on Monday that his comments did not amount to disobedience as he had revealed to the public that he and Kibicho had participated in criminal acts in the past.

His lawyer John Khaminwa maintained that Sonko should be treated as a whistle blower in the case.

======

MY TAKE: Kenya ni kituko hapa Africa, hovyo kabisa.
 
Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
 
Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
Ndio sababu huwa tunawaambia muwe mnaweka akiba ya maneno.

Africa ni ile ile.hakuna w akucheka mwingine.
 
Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
Wacha kufubaisha kilichosemwa na Sonko, Sonko kasema anavutaga "bangi" alias "sigara kubwa" pamoja na Uhuru na pia Uhuru alimfundisha kuvaa goggles!
 
Sonko nae vitu vingne awekage Siri bwana... Huwez mbele ya maelfu ya wananchi ukasema unavutaga bangi na rais ...mambo mengne Siri za wana zibaki Siri za wana.
# sonkosnitch
 
Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
Mkuu, mimi sijakuelewa hapo. Unasema "kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama."

Sasa ANGEUWAWA vipi wakati we mwenyewe unasema TZ unaweza kumtukana Rais na bado ukabaki salama?
 
I like the way Tanzanians follow up whatever is happening in Kenya even more than Kenyans themselves. Hata kabla tupate news washapata.
Yaani wanafatilia kila suala la Kenya, hadi vibwenga vya watu kama Sonko, hawabagui wala hawachagui. 😄 Leo hii ukiwauliza wakenya kuhusu siasa au wanasiasa wa Tz wataishia tu kwenye jina la rais. Hata makamu wake hawana muda naye. 🥱 Achia mbali mawaziri, watawala wa mikoa na vikaragosi vingine vya Jiwe.
 
I like the way Tanzanians follow up whatever is happening in Kenya even more than Kenyans themselves. Hata kabla tupate news washapata.
Kwani hujui kua mtu akiwa anaumwa kuelekea kufa watu wengi humtembelea hospital???? Na nyie Kenya mnakaribia kukataa roho so majirani lazma tuwe karbu na hali ya mgonjwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
Taja mtu mmoja aliyeuliwa Tanzania kwa sababu za kisiasa mimi mikutajie wakenya kumi
 
Yaani wanafatilia kila suala la Kenya, hadi vibwenga vya watu kama Sonko, hawabagui wala hawachagui. [emoji1] Leo hii ukiwauliza wakenya kuhusu siasa au wanasiasa wa Tz wataishia tu kwenye jina la rais. Hata makamu wake hawana muda naye. 🥱 Achia mbali mawaziri, watawala wa mikoa na vikaragosi vingine vya Jiwe.
Kama ambavyo hakuna kitu kibaya cha kufuatilia toka Botswana, Mauritius, Seychelles, Sweden, Qatar, Iceland, Tanzania, Holland na nchi zingine zenye utulivu, hizi nchi haziongozwi na wavuta bhangi
 
Back
Top Bottom