joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Tunazungumzia bhangi na ulevi wa viingozi wenuHivi tumekua tukiumwa tangu 1963 na hatufi na bado tuko mbele yenu kiuchumi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazungumzia bhangi na ulevi wa viingozi wenuHivi tumekua tukiumwa tangu 1963 na hatufi na bado tuko mbele yenu kiuchumi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sawa mgonjwa ngoja tunaoona hali yako ya afya tuendelee kuwa karibu na wewe mgonjwaHivi tumekua tukiumwa tangu 1963 na hatufi na bado tuko mbele yenu kiuchumi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nakuhakikishia kwamba atatoka salama na asipotoka salama mimi nahama JF. Sonko pia anasema madada za Uhuru ni wezi. Narudia tena kama Sonko angekuwa Mtanzania basi angekuwa ameshauwawa. Subiri uone atafikishwa mahakamani kisha atatoka salama.una uhakika gani kama huko alipokamatiwa atatoka salama? Na si mfu? Wacha ufala! Sonko alisema pia Uhuru aliua Biwott!
Nimesema TZ huwezi kumtukana rais hadharani kila siku na ubaki salama. Jifunze kusoma.Mkuu, mimi sijakuelewa hapo. Unasema "kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama."
Sasa ANGEUWAWA vipi wakati we mwenyewe unasema TZ unaweza kumtukana Rais na bado ukabaki salama?
Yani mnafuatilia viongozi wetu hivi? Hapa Kenya ni rais wenu tu tunayemjua - mbele ya hapo hatuna shughuli. Hata makamu wa rais wa Tanzania ukiuliza Mkenya atakushangaa. 🤣 🤣Tunazungumzia bhangi na ulevi wa viingozi wenu
Tena nyie ndio mnaongozwa na mvuta bangi mahiri zaidi ya wote. Sio kwa zile kauli zake za kipumba ambazo anaibuka nazo kila siku. Rais wenu anatrend duniani kwa vitu vya ajabu ajabu na ukurupukaji ambao haushirikishi ubongo. Alafu kinachosikitisha zaidi ni kwamba aibu zinaturudia sisi wote ambao ni wenyeji wa Afrika Mashariki. Juzi nimekuwepo kwenye kikao na jamaa kutoka Quebec, Belize na mmoja kutoka New Zealand. Jambo la kwanza ambalo waliniuliza ni kuhusu ile kauli ya Jiwe alipozungumza kuhusu chanjo ya COVID-19. I was like naaah, huyo rais na nchi yake wapo upande wa pili kusini mwa Afrika na sie tupo mashariki. Kisha nikabadilisha stori fasta. 😏Kama ambavyo hakuna kitu kibaya cha kufuatilia toka Botswana, Mauritius, Seychelles, Sweden, Qatar, Iceland, Tanzania, Holland na nchi zingine zenye utulivu, hizi nchi haziongozwi na wavuta bhangi
BEN SAANANE, MWANDISHI YULE MWINGINE, LISSU MKAMRINDIMA RISASI MILIONI MOJA, NA WENGINE WENGI TU,Taja mtu mmoja aliyeuliwa Tanzania kwa sababu za kisiasa mimi mikutajie wakenya kumi
Ni afueni mara elfu kuliko upumbavu na uwendawazimu wa viongozi wenu wenye kutoa kauli za ajabu ajabu juu ya mambo yanayohitaji kutazamwa kisayansi,kiutafiti na kielimu angalau hata kwa kiwango kidogo.Tunazungumzia bhangi na ulevi wa viingozi wenu
Tena nyie ndio mnaongozwa na mvuta bangi mahiri kuliko wote. Sio kwa zile kauli zake za kipumba ambazo anaibuka nazo kila siku. Rais wenu anatrend duniani kwa vitu vya ajabu ajabu na ukurupukaji ambao haushirikishi ubongo. Alafu kinachosikitisha zaidi ni kwamba aibu zinaturudia sisi wote ambao ni wenyeji wa Afrika Mashariki. Juzi nimekuwepo kwenye kikao na jamaa kutoka Quebec, Belize na mmoja kutoka New Zealand. Jambo la kwanza ambalo waliniuliza ni kuhusu ile kauli ya Jiwe alipozungumza kuhusu chanjo ya COVID-19. I was like naaah, huyo rais na nchi yake wapo upande wa pili kusini mwa Afrika na sie tupo mashariki. Kisha nikabadilisha stori fasta. 😏
Taja mtu aliyeuliwa, toa ushahidi kwamba Ben Sanane amekufa kama walivyouliwa Jacob JUMA, Chris Msando, Pio Gama Pinto, Aoko, na Millions ya wakenya wanaouliwa katika fujo za uchaguziBEN SAANANE, MWANDISHI YULE MWINGINE, LISSU MKAMRINDIMA RISASI MILIONI MOJA, NA WENGINE WENGI TU,
MLIKIUA MKIMUANDAMA GODBLESS LEMA NA WENGINE....WANYWA DAMU NYIE MASHETANI ZA CCM.
Wakati huo huo Magufuli ameingia katika tano bora ya "best presidents in Africa, amepigiwa kura na kushika namba mbili Africa, Uhuni Kenyatta hakuna hata mtu apa Africa anamuwaza hata katika top 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena nyie ndio mnaongozwa na mvuta bangi mahiri kuliko wote. Sio kwa zile kauli zake za kipumba ambazo anaibuka nazo kila siku. Rais wenu anatrend duniani kwa vitu vya ajabu ajabu na ukurupukaji ambao haushirikishi ubongo. Alafu kinachosikitisha zaidi ni kwamba aibu zinaturudia sisi wote ambao ni wenyeji wa Afrika Mashariki. Juzi nimekuwepo kwenye kikao na jamaa kutoka Quebec, Belize na mmoja kutoka New Zealand. Jambo la kwanza ambalo waliniuliza ni kuhusu ile kauli ya Jiwe alipozungumza kuhusu chanjo ya COVID-19. I was like naaah, huyo rais na nchi yake wapo upande wa pili kusini mwa Afrika na sie tupo mashariki. Kisha nikabadilisha stori fasta. [emoji57]
Onyesha mtu yeyote aliyeuwawa kama alivyouliwa Jacob JUMA kwa kuwasakama viongozi TanzaniaNimesema TZ huwezi kumtukana rais hadharani kila siku na ubaki salama. Jifunze kusoma.
Wapumbavu ni wale wanaotangaza idadi ya watu wanaokufa bila kutoa ufumbuzi wa kuzuia vifo. Nchi ya wapumbavu ni ile inayopewa mikopo wa pesa ili kuwakinga rai wake dhidi ya ugonjwa, badala yake rais na ndugu zake wakaziiba pesa zoteNi afueni mara elfu kuliko upumbavu na uwendawazimu wa viongozi wenu wenye kutoa kauli za ajabu ajabu juu ya mambo yanayohitaji kutazamwa kisayansi,kiutafiti na kielimu angalau hata kwa kiwango kidogo.
Vichwa vya wendawazimu kweli.
kalb wahed
Angeuwawa kama walivyouwawa kina OUKO eee?Kama Sonko angekuwa Mtanzania angekuwa ameuwawa. Huko Tanzania hakuna jinsi unaweza kumtukana rais hadharani kila siku, kumuita mlevi na matusi mengine na ubaki salama.
Uhuni whaaaat [emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huo huo Magufuli ameingia katika tano bora ya "best presidents in Africa, amepigiwa kura na kushika namba mbili Africa, Uhuni Kenyatta hakuna hata mtu apa Africa anamuwaza hata katika top 20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunafatilia mnavyo buruzanaI like the way Tanzanians follow up whatever is happening in Kenya even more than Kenyans themselves. Hata kabla tupate news washapata.
Tunawafatilia walevi na wavuta bangeYani mnafuatilia viongozi wetu hivi? Hapa Kenya ni rais wenu tu tunayemjua - mbele ya hapo hatuna shughuli. Hata makamu wa rais wa Tanzania ukiuliza Mkenya atakushangaa. [emoji1787] [emoji1787]