Sonko ashtukiza na kukuta mamilioni ya hela yamefichwa ofisini

Sonko ashtukiza na kukuta mamilioni ya hela yamefichwa ofisini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa ameanza kwa mbwembwe, japo kuna wale wanasema hizi ni kiki za PR, ila mimi naomba aendelee vivyo hivyo. Kakuta mamilioni ya hela za Kikenya yamekombwa na kufichwa sehemu.
Hehehe mtakoma, kichaa kapewa rungu kwenye nyumba ya kioo, Nairobi mtanyooka tu, duh yaani hapa ni mwendo wa kusomana na kuwekana sawa.

1622086_0.jpg

Some of the money that Nairobi Governor Mike Sonko found at City Hall during a sting operation on August 23, 2017. /COURTESY

Nairobi Governor Mike Sonko found unbanked Sh7 million during a sting operation at City Hall on Wednesday.

Via Twitter, the new county chief said the operation came after they were tipped off by an anonymous source.

"It is completely unacceptable that yesterday's collection in excess of Sh7 million in cash was lying with the cashiers by 11 am yet the county's bank is only 50 metres away," he said.

"Under my watch, City Hall has ceased to be anyone's cash cow. We shall streamline revenue collection and management."

He said he has instructed the cash office to immediately install CCTV cameras and that monitoring will be done by his office, the CID and NSIS.

Sonko leads sting operation at City Hall, finds unbanked Sh7 million
 
huyo aliyeficha ni mpuuzi kiasi gani aache hela kipindi kama hiki cha kjbadilishana uongozi?? kama sio kiki ni nn
 
duh...huyu nani anaacha hela nyingi hivi ofisini?...ila Sonko inabidi achunge kuna cartels wa Nairobi...hao ni kum mimina risasi tu mara moja akiwaharibia biashara zao za kifisadi...
 
duh...huyu nani anaacha hela nyingi hivi ofisini?...ila Sonko inabidi achunge kuna cartels wa Nairobi...hao ni kum mimina risasi tu mara moja akiwaharibia biashara zao za kifisadi...
Yeye mwenyewe ni gangster anayejulikana na kuheshimika miongoni mwao.
 
I like Sonko but I'm not sure on this one....smells like a stunt to me.
 
naona kidogo kidogo viongozi wa kenya wakianza kuinga style ya magufuli ya "kushtukiza".[emoji23] [emoji23]

ila kama ataendelea na style hii,itabidi awe na ulinzi wa uhakika Sana, maana siasa za kikenya ni za kimafioso kuzidi za tz.

kenya ikionekana unafatilia sana mienendo ya watu ya kujipatia fedha,kuuliwa ni rais sana.
 
Hehehe Soma kuhusu marehemu Michuki, wakati akiwa waziri zamani alivyokua anashtukiza. Japo pia haya mambo ya kushtukiza ni kiki hamna kitu. Serikali haiendeshwi kwa media.
Naomba utafute wimbo wa Nay.
 
Back
Top Bottom