Sonko awakusanya omba omba Nairobi, wengi wasemekana kutokea Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanapelekwa makao ya kuwashauri na kuwasaidia kuondokana na mateso ya kuomba omba barabarani, sasa sijui kama hao Watanzania ambao ndio wengi watarudishwa kwao au itakua vipi, maana wengi hurudishwa na baada ya wiki moja wanaibuka Nairobi tena.

Kitu sijawahi kuelewa, tumezungukwa na mataifa ambayo yamepitia misukosuko ya kila aina, Sudan, Somalia n.k. lakini haijatokea hata siku moja raia wao wakaishia kuomba omba kwenye barabara za Kenya, lakini taifa ambalo ambalo huwa tunaambiwa ndio kisiwa cha amani, asali na maziwa ila raia wake wamejaa huku wanaomba na kuishi maisha ya aibu.

thumb_nefwcrsbyteha2mzyxg5afd44db0fab5.jpg

The number of street beggars netted by the Nairobi County Enforcement Unit in the city's CBD has increased to over 200 since the operation started early this morning. Speaking at Waithaka Rehabilitation Center where the group is undergoing counselling, Youth and Social Services CEC Janet Ouko said 80 per cent of the beggars are disabled with majority of them being foreigners from neighboring countries like Tanzania.

City Hall Head of Inspectorate Peter Mbaya says the operation will be continuous since the CBD has been declared "beggars-free zone".
Read more at: Nairobi CBD operation update:200 street beggars netted
 
duh! wabongo jamani...nilidhani kwenu kila mtu ana ardhi yake na mali...ama hawa pia ni export? ni jambo nzuri lakini kuwapeleka kwenye rehabilitation facility
 
Mibongo ni minjanja sana, kwao chakula kipo kwa wingi lakini wanajaa humu kuchukua pesa ya wakenya. Same case with JPM, he actually can take loans from EuroBond and has a higher credit rating than kenya but he settles for cheap WB loans and Grants!
By the way, Kenyan are 3rd most generous country in the world, Tanzanians Must be Making a fortune here..Shrewdly posing as 'poor' and exploiting stupid kenyans!
Kenyans among top 3 most generous people worldwide - Nairobi News
 
Kuna omba omba mmoja Yupo Nairobi ila amejenga kigamboni na kwao dodoma na amemnunulia dada yake coastal na Noah.
Wakenya jinga kabisa
 
I agree.
 
Huko tunakuja kusaka hela kwa kuloa jasho, hivi mlivyo wabahiri ikitokea siku muone Mkenya anaomba omba barabarani hapo si mtamtolea nje kwa mwendo kasi.
Wakenya hawaombi..Wao huiba, hata Rais ni mwizi hali jasho lake 😀
 
The exodus is soon to be ramped up once immigration and border control kicks in after 60days notice elapses!
 
omba omba are not Foreign workers with no permits, in anycase drunkard uhuru openned kenya for all and sundry, so expect more shrewed omba ombas on the streets
 
Wanapelekwa makao ya kuwashauri na kuwasaidia kuondokana na mateso ya kuomba omba barabarani, sasa sijui kama hao Watanzania ambao ndio wengi watarudishwa kwao au itakua vipi, maana wengi hurudishwa na baada ya wiki moja wanaibuka Nairobi tena.

Kitu sijawahi kuelewa, tumezungukwa na mataifa ambayo yamepitia misukosuko ya kila aina, Sudan, Somalia n.k. lakini haijatokea hata siku moja raia wao wakaishia kuomba omba kwenye barabara za Kenya, lakini taifa ambalo ambalo huwa tunaambiwa ndio kisiwa cha amani, asali na maziwa ila raia wake wamejaa huku wanaomba na kuishi maisha ya aibu.

thumb_nefwcrsbyteha2mzyxg5afd44db0fab5.jpg

The number of street beggars netted by the Nairobi County Enforcement Unit in the city's CBD has increased to over 200 since the operation started early this morning. Speaking at Waithaka Rehabilitation Center where the group is undergoing counselling, Youth and Social Services CEC Janet Ouko said 80 per cent of the beggars are disabled with majority of them being foreigners from neighboring countries like Tanzania.

City Hall Head of Inspectorate Peter Mbaya says the operation will be continuous since the CBD has been declared "beggars-free zone".
Read more at: Nairobi CBD operation update:200 street beggars netted
Magufuli achukue fursa hii kuonyesha ujasiri wake awachukue watu wake awape makao. Huwa tunaambiwa kila siku huko Tanzania kila mtu ana shamba kubwa la kulima na economy iko inclusive. Mbona muwaache ombaomba wajazane nchi jirani hivi sasa?
 
Kuna omba omba mmoja Yupo Nairobi ila amejenga kigamboni na kwao dodoma na amemnunulia dada yake coastal na Noah.
Wakenya jinga kabisa
Wakenya ni watu wakarimu na wasio na roho mbaya. Saa zingine ukarimu wa mtu huchukuliwa for granted na watu wasio na utu.
 
Back
Top Bottom