Sonko awakusanya omba omba Nairobi, wengi wasemekana kutokea Tanzania

Labda walijifunza toka kwa mkulu aliyepita.
 
Rafiki kazi ni kazi, kuna wanao osha maiti na wanao kwamua choo. Utashangaa sana hawa wa Tz wanao omba omba wako na mihela kuliko wewe umekaa hapo kwa kiti chako umeajiriwa na serikali πŸ˜€

niwaona hapa mtaani wana mihela kupindukia!!!! wamekuja kenya kuongezea akiba zao. what a wonderful way to live in a foreign land!!! Its no brainer wana akili kukuliko kwa kipimo cha watz!!!


vijana kutoka tanzania tayari kuvuka border kuelekea kenya!!

Kisumo, a father of six and a beggar along Kenyatta Avenue in Nakuru town, lost his lower limbs.

He told journalists that poverty drove him from Tanzania, adding that although he has knowledge in leather work, he has no capital to start a business.
 
This is the only thing Tanzania feeds Kenya.. omba omba
It is their primary export to Kenya.
 
uvivu ndio kisa cha mambo haya yote...mtu hataki kufanya kazi anataka tu aombe ombe...ujamaa system at work there
 
Na mademu wengi wa Kibongo Tanzania nao wanaongoza kwa ku omba omba jamani kha!
 
[emoji38][emoji38][emoji38] waacheni watumie fursa TZ ni kazi tu
 
Kuna omba omba mmoja Yupo Nairobi ila amejenga kigamboni na kwao dodoma na amemnunulia dada yake coastal na Noah.
Wakenya jinga kabisa
Ati wajinga nyinyi ni maroho chafu,backstabbing kind of peeps, nikama panya anakuuma then anakupuliza, inhumans albino karibu mmalize wote aiiseee
 
Come on. You are more intelligent than this!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…