sonona

sonona

menyidyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
1,339
Reaction score
194
nilikuwa hospital flan kwenye mbao z matangazo wamesema wanawasaidia watu wenye sonona. je ni kitu gani hiki?
 
Magonjwa yameongezeka sana na msamiati wa Kiswahili umeongezeka
 
hata kwa sentensi moja tafadhari.
 
Ninaijua sanoma stress, ngoja dr. ajibu kwanza.
 
yes niliona wameandika kumfanyia cancelling mtu mwenye sonoma. wat is it?
 
inakaa kama kusononeka hivi....labda inamaanisha msongo wa mawazo
 
kuna mahali nilipata hii hapa. Naona wataalam watatoa ushauri.
Mbegu za Mlonge hutibu Malaria, Saratani ya tumbo, hupungusa sonona stress, huleta hamu ya kunywa maji, huongeza kinga ya mwili CD4s. (Tumia mbegu 3x3 muhimu kila ukitafuna mbegu tatu kumbuka kutumia maji glass 3 au zaidi)
 
Back
Top Bottom