TV4Sale Sony Bravia Inch 32

TV4Sale Sony Bravia Inch 32

Dodo86

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
99
Reaction score
83
Nauza Tv yangu aina ya Sony inchi 32 ila inaonesha black and white. Fundi aliniambia mpaka nibadilishe kioo kwahiyo atakaejunua atatakiwa abadilishe kioo. Bei nauza ni 100,000. Kwa mawasiliani 0712220207. Iko Sinza Mori.

20220315_183359.jpg
20220315_183423.jpg
20220316_112952.jpg
 
Sas si uonyeshe picha inaonakanje pengine naweza kuishi nayo
 
Kumbuka sio TV yoyote angalia brand ya TV ni Sony
 
Back
Top Bottom