Sony & Honda wametengeneza EV inaitwa AFEELA ambayo unaweza kucheza Play Station 5 humo ndani!

Sony & Honda wametengeneza EV inaitwa AFEELA ambayo unaweza kucheza Play Station 5 humo ndani!

OUT OF TOPIC: Nimenunua ps5 kwaajili ya dogo hapa changamoto nashindwa kutengeneza account kwenye website ya hao Sony maana nchi yangu siioni.
 
Lucid Air yupo vizuri sahivi kwenye mauzo. Vizuri sana mfano mwezi August na Sept kauza vizuri.

Tatizo la mauzo kutokua mazuri sana ni bei. Cheapest Lucid Puri ni $70,000 wakati hapo unapata Tesla M3 mbili.
Kumbe, lucid mimi naielewa kuliko tesla hasa wana finishing nzuri sana.
Pia mimi cyber truck sielewi badala yake naelewa ford f-150 lighting.
 
Naona bei ndio itakua mchawi. Ila used EV zina depreciate chap sana, after 3 years kukuta bei imedrop 50% kawaida. Imagine after 10 years.
Wakati huo source of power.... efficiency yake imedrop to 65%
 
Wakati huo source of power.... efficiency yake imedrop to 65%
Hahaha sio fasta ivo. Battery degradation iko slow sana especially walivodevelop heatpump na LFP batteries.
 
Kumbe, lucid mimi naielewa kuliko tesla hasa wana finishing nzuri sana.
Pia mimi cyber truck sielewi badala yake naelewa ford f-150 lighting.
Lucid kwa perfomance muonekano na range wanamkimbiza Tesla sana. Mchawi bei tu.

Kwenye truck hapo tupo sawa. Cybertruck ni wizi kabisa. Ilitakiwa iuzwe $60k, kuuza $150k ni wizi.

F-150 Lighting, Rivian R1T na Chevy Silverado EV ndio best EV truck sahivi tukitoa za China.
 
Sie bongo. Hatu kuboresha teknolojia ya kilimo walau tuwe na surplus ya food. Hakun kaz uchawa yaan basi tuu
 
Huwa tunatumia Usa mkuu ama South Africa. Sema Usa ni nzuri zaidi sababu Gift card zake zinapatikana kirahisi Amazon incase unataka kumnunulia na game.
Shukrani mkuu ngoja nitajaribu jioni nikishindwa nitakurudia
 
Back
Top Bottom