mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
uthibitishiwe ki vip hujawai ona kanisa zao au chata zaoMimi ninachotaka ni wanaoamini kuwa hayo yapo wanithibitishie kuwa yapo.
Ikiwa nawewe waamini kuwa hayo yapo kweli na yanawork thibitisha hapa.
Freemasonry ni kitu ambacho kipo ila kuhusisha kila mafanikio ya mtu na freemason hayo ndiyo mawazo ya kimaskiniUnaongea juu juu tu
fanya research, soma vitabu, then uje na hoja iliyokwenda shule. Na sio hoja hio "mawazo ya kimasikini".
mawazo ya kimaskin kw sababu gani elaborate...je umefanya research wapi ukaja ku conclude kwamba ni mawazo ya kimasikini. Ungeanza kwa kutuelezea kwanza what do you know about freemason or illuminati. Then
Yaah Kiba yupo kule domo ndo yupo madake coz wanasign waimbaji siyo wanenguajiSi na yule kibakuli Naskia nae yupo Sony
Sijawahi kuona, wewe ulishaona na ukawaona wakiabudu humo?uthibitishiwe ki vip hujawai ona kanisa zao au chata zao
Freemasonry ni nini mkuu?Freemasonry ni kitu ambacho kipo ila kuhusisha kila mafanikio ya mtu na freemason hayo ndiyo mawazo ya kimaskini
hata najua ndugu yangu.Freemasonry ni nini mkuu?
kuabudu sijawai kuwaona sababu kanisa lao wameweka senyenge kulizunguka ila nishaliona kanisa laoSijawahi kuona, wewe ulishaona na ukawaona wakiabudu humo?