SONY MUSIC COMPANY: Yahusishwa na kuuza nafsi yako na ibilisi.

SONY MUSIC COMPANY: Yahusishwa na kuuza nafsi yako na ibilisi.

Mimi ninachotaka ni wanaoamini kuwa hayo yapo wanithibitishie kuwa yapo.

Ikiwa nawewe waamini kuwa hayo yapo kweli na yanawork thibitisha hapa.
uthibitishiwe ki vip hujawai ona kanisa zao au chata zao
 
Unaongea juu juu tu
fanya research, soma vitabu, then uje na hoja iliyokwenda shule. Na sio hoja hio "mawazo ya kimasikini".
mawazo ya kimaskin kw sababu gani elaborate...je umefanya research wapi ukaja ku conclude kwamba ni mawazo ya kimasikini. Ungeanza kwa kutuelezea kwanza what do you know about freemason or illuminati. Then
Freemasonry ni kitu ambacho kipo ila kuhusisha kila mafanikio ya mtu na freemason hayo ndiyo mawazo ya kimaskini
 
Back
Top Bottom