DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Watatoa "Special for Africa; Special for Simba fans"!Je ni wabongo wangapi wana uchumi wa kununua kiatu kimoja moja kwa dola 200 sidhani kama wana toleo la chini ya dola 100
Je ni wabongo wangapi wana uchumi wa kununua kiatu kimoja moja kwa dola 200 sidhani kama wana toleo la chini ya dola 100
Inabidi watengeneze bidhaa kulingana na soko. JayRutty akijipanga kuanzia kwenye jezi, raba na pamba za kawaida, Diadora itashika soko la mavazi. Kazi yake itabaki tu kucontrol bidhaa feki maana nazo zitakuwa nyingi.Watatoa "Special for Africa; Special for Simba fans"!
Huo ndio ukweli!Inabidi watengeneze bidhaa kulingana na soko. JayRutty akijipanga kuanzia kwenye jezi, raba na pamba za kawaida, Diadora itashika soko la mavazi. Kazi yake itabaki tu kucontrol bidhaa feki maana nazo zitakuwa nyingi.