Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili.
Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za simu.
Yale manenk ya arifa- notification, sasisha - update, rudi mwanzo - home, mpangilio - setting, pakua-download uwa naona yananitia njaa tu.