Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Hata mimi sifahamu kwa kweli..Ndo umenionyesha sikuwahi kuona. Sasa inastajaabisha maana nafanya project ya kulocalize whatsapp sasa sijajua kwanini wanairudia kama tayari iko localized
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sifahamu kwa kweli..Ndo umenionyesha sikuwahi kuona. Sasa inastajaabisha maana nafanya project ya kulocalize whatsapp sasa sijajua kwanini wanairudia kama tayari iko localized
Inawezekana pia.. maana si umesema wanataka kutumia kiswahili cha Kenya?Ngoja nilinganishe maneno yaliyopo huku na glossaries nilizopewa labda wameamua kutumia glossaries mpya
Sawa, kila la kheri mkuuYes, japokuwa ni standard swahili so hakijatofautiana sana na kiswahili chetu maana standard swahili ni kiunguja