Mkuu kuna accent zaidi ya 150 za Kiswahili lakini standard ya Kiswahili ni kiunguja.Kiswahili cha kenya kipoje ?
Duhh..mpya hii..Kiswahili cha kenya...😂😂 ambacho kimetokana na kiswahil cha tanzania...Sasa vyote si ni vyetu tu au mkuu unateseka vp!!...binafsi sioni tatizoBongo tumelala sana naamini Kenya wamefanya kitu cha ziada ndo maana tutatumia kiswahili cha kenya
Kumbe tutakuwa tunaweka mipangilio Rununu.Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili.
Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za simu.
Yale manenk ya arifa- notification, sasisha - update, rudi mwanzo - home, mpangilio - setting, pakua-download uwa naona yananitia njaa tu.
nyie si mko bize kuwakomoa akina Mbowe na utekaji wa ovyo ovyo, endeleeniDuhh..mpya hii..Kiswahili cha kenya...😂😂 ambacho kimetokana na kiswahil cha tanzania...Sasa vyote si ni vyetu tu au mkuu unateseka vp!!...binafsi sioni tatizo
Eheheh..Braza Mbowe wa watu anaingiaje hapa kwenye mambo ya technilogy 😂😂nyie si mko bize kuwakomoa akina Mbowe na utekaji wa ovyo ovyo, endeleeni
Wao Baba wanaita mamaKiswahili cha kenya kipoje ?
Cha kipumbavu.Kiswahili cha kenya kipoje ?
Sababu wanatafsiri word to word ndio maana badala ya kuweka maneno ambayo ni rahisi kuyaelewa.Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili.
Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za simu.
Yale manenk ya arifa- notification, sasisha - update, rudi mwanzo - home, mpangilio - setting, pakua-download uwa naona yananitia njaa tu.
Kiko sehem gan nihabarishe mkuu
Ndo umenionyesha sikuwahi kuona. Sasa inastajaabisha maana nafanya project ya kulocalize whatsapp sasa sijajua kwanini wanairudia kama tayari iko localizedView attachment 2124167
Settings---- Chats---- App language--- English/Kiswahili .. kama inavyoonekana kwenye picha hapo