Soon inakuja whatsapp ya kiswahili

Ndo umenionyesha sikuwahi kuona. Sasa inastajaabisha maana nafanya project ya kulocalize whatsapp sasa sijajua kwanini wanairudia kama tayari iko localized
Hata mimi sifahamu kwa kweli..
 
Kiswahili tunapofeli maneno mengi hatuyatumii inasababisha kinakuwa yabisi, mfano Mimi nikienda ATM kutoa hela huwa sichagui lugha ya kishwali
 
Ngoja nilinganishe maneno yaliyopo huku na glossaries nilizopewa labda wameamua kutumia glossaries mpya
Inawezekana pia.. maana si umesema wanataka kutumia kiswahili cha Kenya?
 
Inawezekana pia.. maana si umesema wanataka kutumia kiswahili cha Kenya?
Yes, japokuwa ni standard swahili so hakijatofautiana sana na kiswahili chetu maana standard swahili ni kiunguja
 
Labda kuna kitu sijaelewa ,
Kiswahili cha kenya” kikoje ama kimetokana na nini
Nikisema njaa” kitanzania kikenya nitasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…