Soon will be opened

Soon will be opened

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Heshima wana JF,
Sisi ni vijana ambao tumeamua kujiajiri kuendana na fani zetu, hivyo tumeamua kufungua workshop ambayo itahusika na kazi za,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL INSTALLATION BOTH DOMESTIC AND INDUSTRIAL,INSTALLATION OF GENERATOR AND SERVICE,ALSO CAR WASH, TupoToangoma along Kigamboni Road,operation itaanza trh 2/2/014.Wadau tunaomba support zenu ili na sisi tutoe ajira kwa vijana wengine na kwa wale ambao watatutafutia kazi watapata kamisheni.ASANTENI SANA NA KARIBUNI
 
Back
Top Bottom