Nkki mbishi, one, songa, Nash McNitajie wasanii wa hip hop wanao fanya vizur tuone kama siyo wa kutoka Arusha,,Kumbuka hili tamasha lilikuwa la hip hop so hawawez kumchukua mbishi ambaye hana hit hata moja ya kuzugia.
HAHA YAANI HAMJAONA KUWA WOTE NI WASANII NA WOTE WANAFANYA SANAA YA MZIKI AMBAPO PIA WANATOA BURUDANI SAWA NA WENGINE, ILA WEWE NA NIKKI MBISHI AKILI ZENU ZIKAANZA NA KUTOFAUTISHA UBAGUZI WA KIKANDA NA BLAH BLAH NYINGINE. AISEE KWELI TANZANIA NA BAADHI YA BINADAMU ULIMWENGUNI WANA TABU SANA NA VITU VISIVYO NA MSINGI KIJAMII. NAONA MKITOKA KWENYE UKANDA MTAFIKA KWENYE MAKABILA KABISA NA BAADA YA HAPO NI FAMILIA MOJA MOJA KUWA YUPI WA USHUANI NA YUPI KAPUKU. POLENI SANA & IT'S SO SAD.
NB: BY THE WAY MWANA FA PIA NI WA KANDA YA KASKAZINI PIA, SO UNAWEZA FIX TENA LIST YAKO HAPO.
Kazi ipoMengi yakuzungumza sina, japo mabalaa yalionekana kupitia mtandao wa twitter kama alivoeleza Nikki Mbishi, tamasha hili lilikuwa la kikanda zaidi na wasanii wengine waliwekwa kama kizugio tu, zaidi lilitawaliwa na wasanii wa Arusha, hii sio nzuri hata kama dili lilisimamiwa na mtu anaetoka Arusha alitakiwa apewe masharti,
Listi iko hivi,
Rosa lee
Motra ze Future
Joh Makini
Frida Amani
Nikki wa Pili
G Nako
Lord Eyes
Chin Bees
walioweka kuzugia,
Country Boy
Mwana FA
AY
Kiukweli listi yenu ilikuwa kiupendeleo,
Nitajie hit walizo nazo Hao wasanii wako,Kidogo ungenitajia Zaiid ningekuelewa.Nkki mbishi, one, songa, Nash Mc
Stereo nk Hawa wanafanya ngoma hip hop kuliko Hawa wapaka poda joh makini.....
Ova
Hivi kuna hiphop bongo bila Fid q ,young killer , nikki mbishi ,wakazi ,one incredible..Nitajie hit walizo nazo Hao wasanii wako,Kidogo ungenitajia Zaiid ningekuelewa.
Hamna Fareed,Moko wa Miujiza,Songa...HAYO NI MASHUDU TU,Hamna Hip hop hapo!!Hivi kuna hiphop bongo bila Fid q ,young killer , nikki mbishi ,wakazi ,one incredible..
Hao weusi wanaimba mchiriku tu...
mmmh so sad.Walikosa watu clouds View attachment 1161887