mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Mengi yakuzungumza sina, japo mabalaa yalionekana kupitia mtandao wa twitter kama alivoeleza Nikki Mbishi, tamasha hili lilikuwa la kikanda zaidi na wasanii wengine waliwekwa kama kizugio tu, zaidi lilitawaliwa na wasanii wa Arusha, hii sio nzuri hata kama dili lilisimamiwa na mtu anaetoka Arusha alitakiwa apewe masharti,
Listi iko hivi,
Rosa lee
Motra ze Future
Joh Makini
Frida Amani
Nikki wa Pili
G Nako
Lord Eyes
Chin Bees
walioweka kuzugia,
Country Boy
Mwana FA
AY
Kiukweli listi yenu ilikuwa kiupendeleo,
Listi iko hivi,
Rosa lee
Motra ze Future
Joh Makini
Frida Amani
Nikki wa Pili
G Nako
Lord Eyes
Chin Bees
walioweka kuzugia,
Country Boy
Mwana FA
AY
Kiukweli listi yenu ilikuwa kiupendeleo,