TANZIA Sophia Leone afariki dunia

TANZIA Sophia Leone afariki dunia

Kuna wakati Hawa watu Mzee wa kupombania,Deep Pond na Drone drake Huwa wananishangaza sana kuhusu kuwa kwao deep kwenye mambo ya minyanduano na kuwajua mastar wengi sana duniani wanaojihusisha na filamu za X.

Kama hizi IDs siyo za mtu mmoja,basi mpewe crown 👑 ya mizagamuo humu ndani. Mnajua mengi sana na mko deep.


Wakali Wa hizi kazi ni mzabzab na Mzee wa kupambania
 
Nawaasa ninyi mlioangalia sehemu zake za siri, mkatubu, mumrudie Mungu wenu kabla hamjamfuata. Ni dhambi kuangalia sehemu za siri za mtu mwingine. nilishaandika humu kwamba, Yesu alisema ole wake amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini moyoni mwake. ukiangalia porno lazima utamtamani yule mwanamke au mwanaume, na kule kutamani tu umeshazini naye.

Porn inachafua nafsi, ambako Roho Mtakatifu anakaa, hivyo moyo wako unakuwa mchafu kwa mawazo ya uzinzi na picha za uchi. Mungu alivyotuumba aliumba tufiche uchi, na yule anayetazama uchi kwa makusudi ni kosa, sio mapendeleo ya Mungu wanadamu tuishi hivyo. wengi huwa wanasema labda kwasababu Biblia haikuandika moja kwa moja kwamba kuangalia porno ni dhambu au sio dhambi, wanasahau kuwa Roho Mtakatifu huwa anaweza kutushuhudia wazi wazi kwamba kitu fulani hata kama hakikuandikwa kwenye Biblia ila ni dhambi, Yesu alisema huyo Roho atatutia kwenye kweli yote. Biblia ingeandika kila kitu ingejaa dunia nzima. yapo mambo ambayo hayakuandikwa ila ni dhambi,ndio maana hata wafuata sheria kama wasabato waliong'ang'ania kwenye sheria chache, na kuacha sheria za roho wanaamni wamemaliza kumbe kuna mambo mengi sana ni dhambi na hayakuandikwa.

wakati Biblia inaandikwa, teknolojia haikuwa kama sasaivi, hata vita walitumia farasi, sio ndege na mabom kama sasa. porn zilikuwepo, ila ili mtu aone alikuwa analewesha mtu akilewa anaenda kuuangalia uchi wake. hapakuwa na mapichapicha kama yaliyopo sasa, au mavideo, ila watu walifanya pia kwasababu shetani alikuwepo.

pia, Habakuki 2:15 inasema, Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kutazama uchi wao.

kumbe kuna watu hadi walikuwa wanalewesha mtu ili wauone uchi wao, na Mungu akawaonya. siku hizi tech imeboreshwa sio lazima umleweshe, yeye mwenyewe anajipiga anaweka mtandaoni na ku-share dhambi yake, yule anayeonyesha uchi na wewe unayetazama mtakunywa kikombe kimoja.

nawaasa okokeni, ikimbieni zinaa, mkabidhini Mungu maisha ili awasaidie kuishinda dhambi, dhambi ni utumwa. kama ungependa kuokoka, sema nami sala hii fupi, kabidhi maisha ya Yesu leo, hujui utakufa lini, inatosha sasa kwa dhambi ulizofanya, inatosha sasa kukaa mbali na Mungu, rudi kwa kunyenyekea na kusikitika kama mwana mpotevu, Mungu atakusamehe dhambi zako zote, utakuwa kiumbe kipya, na atakupa uzima wa milele.

sema: Eeh Mungu, mimi ni mwenye dhambi, naamini moyoni mwangu ulimtoa Yesu Kristo akafa kama kafara la dhambi zangu, ninatubu dhambi zangu zote (zitaje unazozijua), namkiri Yesu Kristo kwamba ndiye Mwokozi aliyeninunua kwa Damu yake, naomba unisamehe, unioshe kwa Damu ya Yesu. nakabidhi maisha yangu kwako, sasa kwa Jina la Yesu.

kimchezo mchezo tu umeshaokoka, sasa soma Neno la Mungu, jiunge na wenzio waliookoka ili msaidiane katika Neno la Mungu na wokovu, hudhuria ibada kwa watu waliookoka (sio manabii wa uongo), mjaribu Mungu kwa njia hii uone kama hatakuokoa kabisa kabisa na kubadilisha historia ya maisha yako. Mungu akubariki.
Asante mtumishi
 
Mzee wa kupambania na deep pond aisee wako deep sana yan kama wamekulia brazzers [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia ina siri sana mkuu, unaweza kuheshimiana vizuri na mtu ofisini ila ukifika ule wakati kila mtu yupo kivyake mambo yanakuwa mazito

Kwa kweli hao vijana wanawajua sana sio wachezaji tu mpaka directors

Tatizo porno site zimefungwa, ningewapa hata mchango wa kuangalia clip kadhaa
 
Kuna siku nilikuwa napiga story na wajeruman ikaja mada waigizaji wa porno ambao walikuwa too good looking to be in porn. Aisee kuna watu wanajua mastaa wa porno kama wabongo tunavyojua wachezaji wa mpira na hapo ni watu wenye heshima zao na wana familia. It was a huge cultureshock ndio maana hii mitandao ya porno inaongoza kwa internet traffic lakini hakuna mtu anaekubali kuwa anaangalia porno.
Hadi magogoni wanafurahia show kumbe hujui?
 
Hii dunia ina siri sana mkuu, unaweza kuheshimiana vizuri na mtu ofisini ila ukifika ule wakati kila mtu yupo kivyake mambo yanakuwa mazito

Kwa kweli hao vijana wanawajua sana sio wachezaji tu mpaka directors

Tatizo porno site zimefungwa, ningewapa hata mchango wa kuangalia clip kadhaa
Kwani kuangalia show inakupunguzia heahima mkuu?
 
Hii dunia ina siri sana mkuu, unaweza kuheshimiana vizuri na mtu ofisini ila ukifika ule wakati kila mtu yupo kivyake mambo yanakuwa mazito

Kwa kweli hao vijana wanawajua sana sio wachezaji tu mpaka directors

Tatizo porno site zimefungwa, ningewapa hata mchango wa kuangalia clip kadhaa
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom