Sophia Mayunga is no more

Sophia Mayunga is no more

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2007
Posts
1,535
Reaction score
412
Ni mkereketwa wa CUF alikuwa pale yombo vituka kwa Limboa, amefariki dunia siku ya Ijumaa na kuzikwa Jumamosi kijijini kwao Bagamoyo!

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina!
 
Apumzike kwa Amani ndugu Sophia Mayunga, poleni wafiwa wote.
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake libarikiwe. Aamen
 
Mwenyezi Mungu awape wafiwa wote moyo wa subira, sisi sote ni waja wake na kwake ni marejeo.
 
R.I.P Sophia Mayunga. Poleni wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki hasa chama cha CUF kwa kuondokewa na mkereketwa wao.
 
Back
Top Bottom