George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Pumbavu huyo hata kuhoji wageni anaowaalika mwenyewe pale TBC Imekuwa changamoto.Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jana!
Mh Sophia anaomba ridhaa hiyo kwa Chama Jimboni Rungwe huku akiwa na mafanikio lukuki katika kuwatumikia Wana Rungwe wakati wa Ubunge wake wa Viti Maalum kwa miaka kumi!
Sophia anatajwa kuacha alama za mfano katika Maendeleo ya Wana Rungwe kuliko watia nia wote jimboni humo!
Ni wazi kuwa jina lake litatoboa kati ya wateule watatu wa Chama na kuja kupigiwa kura na Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Rungwe!
Na ndio hapo naona kwa 100% Mh Mwakagenda "atatoboa" asubuhi na MAPEMA!
Uledi!
Awamu hii prof mbije anakwenda kubadilisha kila kituToka enzi za akina Ndugu Emanuel Asajile Mwambulukutu sijaona aliyewahi kufanya la maana.
Hamna kitu hapo,Awamu hii prof mbije anakwenda kubadilisha kila kitu
Rungwe mpya na prof mbije
Unamjua Mbije?, Mwakagenda laba waingie 300, jamaa yuko focused sana , matatizo, kero, furaha za wanarungwe anazijua nje ndani, ni mtu sahihi sana kwa maendeleo ya RungweHamna kitu hapo,
Huyo Mbije ni yupi ana undugu na wale Mbije wa Msasani/makandana?Unamjua Mbije?, Mwakagenda laba waingie 300, jamaa yuko focused sana , matatizo, kero, furaha za wanarungwe anazijua nje ndani, ni mtu sahihi sana kwa maendeleo ya Rungwe
Professor SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE , wana rungwe wote ni ndugu zake maana yupo tayari kuwatumikiaHuyo Mbije ni yupi ana undugu na wale Mbije wa Msasani/makandana?
Naona "member" Sophia umekuja na new ID.Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Jana!