Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Nawaomba kimbisa, Nchimbi, na Bashe wahame CCM wajiunge na upinzani watafute uhalali kutoo
 
Vipi kuhusu wale walio imba wana imani na Eddo? Maana wengine ni mawaziri... Ccm mtaona rangi zote. Je huyo anae taka kuwa sultani mnamuonaje??
 
Sasa si angehamia tu CHADEMA kuungana na mumewe! Alikuwq anasubiri nini
wewe ni mnafiki sana madabida ametembea sana na makonda mbona hukumtahadharisha makonda aache hiyo tabia
 
Hio video unamuona Mh. Majaliwavakiimba au amesimama kama ada iwapo Mwenyekiti anakuwa anaingia ukumbini??? ....
Aisee!! Wewe kiboko! Kwahiyo hauoni kabisa namna Majaliwa alivyoimba vimistari vichache? Angalia vizuri katika sekunde ya 15-17, utaona Majaliwa akiimba!
 
Kwa tabia ya ccm ingekua ndo upinzani umewafukuza wanachama wake kwa idadi hiyo yangewatokaa.walipofukuzwa wale madiwani wa arusha yaliyesemwa sanaa
 
Wengine tulilisema hili toka 2015 kwamba CCM imtupie Mamvi makopo yake.
 
Sophia Simba alishasoma upepo na kuamua kutogombea UWT.Kachelewa maana alitakiwa ahame chama mapema ila kwa sasa hakuna chama makini kitakachompokea.


TUNAMKARIBISHA SAANA UKAWA NI MAMA MCHAPAKAZI NA MZALENDO WA KWELI IS AN ASSET FOR SURE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…