Msimsingizie mzee wa watu...Aisee!! Wewe kiboko! Kwahiyo hauoni kabisa namna Majaliwa alivyoimba vimistari vichache? Angalia vizuri katika sekunde ya 15-17, utaona Majaliwa akiimba!
Waliovuliwa gamba toka ugambani ni kama ifuatavyo:
Nimeiona kwny JF twitter:
=========
UPDATES:
Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga
Nina kavideo nilikofanya zooming ya Premier akiimba. Kwa mimi niliyesoma "profiling na intelligence analysia,crystal clearly he was singing willingly from the bottom of his "undevided" heart.Acha ujinga wewe
Swali makini na zuri....... Yukowapi huyu kijana smart aliyekuwa mstahiki meya wa ilala?Hatima ya Jerry Slaa ni vipi?
Magufuli ndiye mwenye chama kwa sasa , hakuna was kumpinga wala kumpangia cha kufanya na hii ni moja ya faida kubwa kwa upande was upinzani ...Record angeiweka JK but sisiem ina wenyewe ambao hawako tayari ife..........
Nchimbi alitakiwa kufukuzwa kabisaSafi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa