twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,795
Msimsingizie mzee wa watu...Aisee!! Wewe kiboko! Kwahiyo hauoni kabisa namna Majaliwa alivyoimba vimistari vichache? Angalia vizuri katika sekunde ya 15-17, utaona Majaliwa akiimba!
Angekuwa ni mkereketwa wa Lowasa asingeishia hapo tu. Abgeliendeleza kama akina Sophia...
Halafu akina Sophia siamini kuwa wamechukuliwa hatua hizo kwasababu walipiga makofi...hapana