Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Duuu ama kweli,ccm wanafiki sana yaani baada ya kuona hawa wanapinga wapo kwenye demokrasia Leo wanawatimua
 
CCM haihitaji upinzani makini ,miaka yote ilikuwa geresha kina Lipumba waliokuwa kwenye payroll.Lowassa na Sumaye kwenda upinzani imekuwa tishio kwa CCM ndio maana wanatumia maguvu mengi kuuzima upinzani,hata hivyo wameshachelewa!Wanachofanya sasa ni pure witch hunt!
 
Hivi wewe nawe una huruma??

Ungekuwa na hiyo huruma usingekuwa mnafki na mfitini kiasi hicho..
I see,you are coming back to your senses.

Vipi,wamekuminya kwenye madili yako nini?
 
Sasa ndio wakati mzuri kwa UKWAWA kuwaandalia sherehe kubwa sana ya kuwakaribisha......HATARI.
Tuwaunganishe na wauzaji na watumiaji wa ngada na pooooda kwenye hiyo sherehe ya kuwakaribisha.UKWAWA Hoyee.....Makamanda Juuu....
Wadhamini waliotandaza mabango nchi nzima ya [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG] 2015 ni mtandao hatari unaotambulika kwa kuuza na kusambaza madawa ya kulevya Tanzania & Africa kwa ujumla ...
 
Haya chadema chukueni takataka nyingne hyo kama kawaida yenu!
Shonza na wenzake walivyofukuzwa CHADEMA waliendaga chama gani kweli? Tena mpaka majukwaani wakapandishwa kama lulu, wakati kule walikotoka walikuwa makapi. Mnisamehe labda siko sahihi.
 
Kwahiyo umekubali aliimba? Kuimba siyo ndiyo ukereketwa wenyewe, ama?
Una ushahidi gani Sophia aliliendeleza na Majaliwa hajaliendeleza? Au kwa sababu huyo mwenyekiti wenu kasema na nyiye hewala!
Sikujibu kwakuwa inaonesha bado mchanga ktk haya mambo
 
Mwingine ni Lizabon, naye ni tia maji Tiananmen maji.
 
Kwani kundi lilikuwa la Lowassa pekee? Hujiulizi kwanini makundi ya wengine (Muhongo, Mwigulu etc) hawajaguswa? Au mmechoka kufikiri?
Kijana wa Lumumba...vipi,mtoto wa Lowassa alikuchapia nini?
Ndio maana hasira zako unammalizia dingi.[emoji12]
 
~~~>>>Hapa Chadema wataandaa tafrija ya kuwapokea hawa waliokatwa..

Nafikiri Sophia Simba alishajua kuwa anatumbuliwa kaamua kujisogeza kando.


Pole sana Mama Sophia Simba.. Kihere here chako kimekuponza.
 
Wasimsahau Jesica Msavatavangu
hivi we shilawadu na ushushushu wote huo hawakuoni au ndo unasubiria zali la hao wanaoondoka.Pole yako utabaki kuwa pikipiki posta mpk ubashit ukuisheeeee na si leo wala kesho.hahahahaha
 
~~~>>>Hapa Chadema wataandaa tafrija ya kuwapokea hawa waliokatwa..

Nafikiri Sophia Simba alishajua kuwa anatumbuliwa kaamua kujisogeza kando.


Pole sana Mama Sophia Simba.. Kihere here chako kimekuponza.
Acha waje wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…