strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Chama kimekuwa cha kimunisti hiki sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haihitaji upinzani makini ,miaka yote ilikuwa geresha kina Lipumba waliokuwa kwenye payroll.Lowassa na Sumaye kwenda upinzani imekuwa tishio kwa CCM ndio maana wanatumia maguvu mengi kuuzima upinzani,hata hivyo wameshachelewa!Wanachofanya sasa ni pure witch hunt!Ccm ina haki kumwondoa au kumkubali mwanachama kupitia vikao n.k. lakini tuzingatie sana watanzania wote bila upinzani changamoto itakufa. Hata ktk biashara unahitaji upinzani ili uboreke uwe na nidhamu pia. Kwa nchi yetu kwa sasa upinzani upo dhaifu sana unachangiwa na mambo mengi. Illa ni muhimu na ni jambo zuri kwa Ccm kwa na Taifa kwa ujumla wake kuwepo na upinzani wenye nguvu ili Taifa lisonge mbele kwakutambua ufisadi ubadhirifu n.k. na pia ujue kipimo cha utawala wako. Lakini kwa upinzani huu sio jambo zuri kabisa kwa mustakbali wa nchi hii kisiasa na kiuchumi. Bado tu wachanga ktk demokrasia tunahitaji kupiga hatua. Hata kama Ccm inatawala uwepo upinzani wenye nguvu kiuchumi na katika sifa za viongozi wao pia sio kwa hali hii ya sasa ya upinzani wapo dhaifu. Ni maoni yangu tu.
I see,you are coming back to your senses.Hivi wewe nawe una huruma??
Ungekuwa na hiyo huruma usingekuwa mnafki na mfitini kiasi hicho..
Hao wamewachoma wenzaoSasa hawa walioonywa na wakati nao wako kwenye kundi la usaliti inakuwaje?
Wadhamini waliotandaza mabango nchi nzima ya [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG] 2015 ni mtandao hatari unaotambulika kwa kuuza na kusambaza madawa ya kulevya Tanzania & Africa kwa ujumla ...Sasa ndio wakati mzuri kwa UKWAWA kuwaandalia sherehe kubwa sana ya kuwakaribisha......HATARI.
Tuwaunganishe na wauzaji na watumiaji wa ngada na pooooda kwenye hiyo sherehe ya kuwakaribisha.UKWAWA Hoyee.....Makamanda Juuu....
Shonza na wenzake walivyofukuzwa CHADEMA waliendaga chama gani kweli? Tena mpaka majukwaani wakapandishwa kama lulu, wakati kule walikotoka walikuwa makapi. Mnisamehe labda siko sahihi.Haya chadema chukueni takataka nyingne hyo kama kawaida yenu!
Sikujibu kwakuwa inaonesha bado mchanga ktk haya mamboKwahiyo umekubali aliimba? Kuimba siyo ndiyo ukereketwa wenyewe, ama?
Una ushahidi gani Sophia aliliendeleza na Majaliwa hajaliendeleza? Au kwa sababu huyo mwenyekiti wenu kasema na nyiye hewala!
Kijana wa Lumumba...vipi,mtoto wa Lowassa alikuchapia nini?Kwani kundi lilikuwa la Lowassa pekee? Hujiulizi kwanini makundi ya wengine (Muhongo, Mwigulu etc) hawajaguswa? Au mmechoka kufikiri?
hivi we shilawadu na ushushushu wote huo hawakuoni au ndo unasubiria zali la hao wanaoondoka.Pole yako utabaki kuwa pikipiki posta mpk ubashit ukuisheeeee na si leo wala kesho.hahahahahaWasimsahau Jesica Msavatavangu
Mzee wa vijisenti?Ccm mpya hiyo...Hakuna mnafiki atakayeachwa
Acha waje wote.~~~>>>Hapa Chadema wataandaa tafrija ya kuwapokea hawa waliokatwa..
Nafikiri Sophia Simba alishajua kuwa anatumbuliwa kaamua kujisogeza kando.
Pole sana Mama Sophia Simba.. Kihere here chako kimekuponza.
tayari kitambo mkuuWasimsahau Jesica Msavatavangu