Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

I see,you are coming back to your senses.

Vipi,wamekuminya kwenye madili yako nini?
Hahahahahahaha we acha tu... Ila bado twasoma upepo labda huko mbele mambo yatakuwa shwari.
 
Sasa ndio wakati mzuri kwa UKWAWA kuwaandalia sherehe kubwa sana ya kuwakaribisha......HATARI.
Tuwaunganishe na wauzaji na watumiaji wa ngada na pooooda kwenye hiyo sherehe ya kuwakaribisha.UKWAWA Hoyee.....Makamanda Juuu....
Kama ukifukuzwa CCM jina lako litafutwa ktk daftari la tume ya uchaguzi basi Ukawa wasiwapokee. Lakini ikiwa tume ya uchaguzi itaendelea kuwatambua kama wapiga kura halali basi ukawa tutawapokea
 
Lazima awe na nguvu ndani ya ccm maana amewekeza nguvu na fedha zaidi ya miaka 20
 
CCM watende haki kwa kumuvua uwanachama na Jk ambaye alikuwa swaiba wa Lowassa kwa kuwa kinachoonekana hapa siyo matatizo ya wanachama bali tatizo ni kwa vile walikuwa wanamuunga mkono Lowassa.
 
Chadema tunazidi kuongeza wanachama makini leteni wengne tayari tuna sepenga huku[emoji3][emoji3]
 
Wanamfukuza Sophia Simba aliyekwishatangaza kustaafu siasa na uongozi UWT? Wangemfukuza na Dr. Nchimbi basi maana ndiye aliyeongea na vyombo vya habari siku zile za kiza Dodoma, lakini badala yake kamzawadia Ubalozi Brazil...Ukiwa [HASHTAG]#BASHITE[/HASHTAG] wa Chato utabaki tu kuwa [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG] wa Chato!
 
Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
hahaha unatukana maba hujavuka mto dogo chunga mdomo wako sana mwenzio kahama nchi......Muache baba wa watu mbona anakupa tumbo joto ivo au ndo sizitaki mbichi hizi?
 
Madabida na bashite hawa si walikuwa wanaongozana kila mahali maskini weee
 
Sasa sio Chama Cha Mapinduzi bali ni Chama Cha Magufuli! Yapo kifupi ndo hakibadiliki yaani bado ni CCM na hii wakianza kutoa kadi nami nachukua!
 
Tunamkaribisha sana upande huu wa pili, ubunge hawakosi kupitia ukawa.
 
Mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga Mngeja alishajitoa CCM kitambo au yupi Huyo aliyefukuzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…