FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Hahahahahahaha we acha tu... Ila bado twasoma upepo labda huko mbele mambo yatakuwa shwari.I see,you are coming back to your senses.
Vipi,wamekuminya kwenye madili yako nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha we acha tu... Ila bado twasoma upepo labda huko mbele mambo yatakuwa shwari.I see,you are coming back to your senses.
Vipi,wamekuminya kwenye madili yako nini?
Kama ukifukuzwa CCM jina lako litafutwa ktk daftari la tume ya uchaguzi basi Ukawa wasiwapokee. Lakini ikiwa tume ya uchaguzi itaendelea kuwatambua kama wapiga kura halali basi ukawa tutawapokeaSasa ndio wakati mzuri kwa UKWAWA kuwaandalia sherehe kubwa sana ya kuwakaribisha......HATARI.
Tuwaunganishe na wauzaji na watumiaji wa ngada na pooooda kwenye hiyo sherehe ya kuwakaribisha.UKWAWA Hoyee.....Makamanda Juuu....
Mfukuzeni...Bado Bashe
Hahaaa apumzike tu sasa, keshalitumikia taifa vya kutosha.Ndo maana mama alijihami mapema kuwa hatagombea tena, amfuate Wema atatoboa tu
Haya haya kapi lingine hilo lipokeeni![]()
There is no room for reconciliation after coming from election?Haya haya kapi lingine hilo lipokeeni![]()
hahaha unatukana maba hujavuka mto dogo chunga mdomo wako sana mwenzio kahama nchi......Muache baba wa watu mbona anakupa tumbo joto ivo au ndo sizitaki mbichi hizi?Ahamie CHADEMA, shimo la uchafu na vitu vibovu
Yeye na nchimbi nan alianza kukanyaga waya, nae angelekwa nje kama adhabu.Kwa makosa yake haikustahili kupewa Onyo
Ha ha haa mbona kolomije hamwendi au ni kwa vile maslahi ya chama chenu hayajaguswa huko.Wasimsahau na Jerry Silaa