Mabadiliko ya ccm yanakuumiza?Kiongozi wa uasi, aliyezungumza usiku ule (Emmanuel Nchimbi) kapewa onyo akiwa tayari Balozi, tena balozi ambae aliteuliwa baadae huku wenzake wa awali wakishinda pale foreign kwenye mabenchi wakisoma magazeti kusubiri vituo; Wafuasi wa nchimbi wanasamehewa/wanafukuzwa uanachama, tena baada ya mmoja wao (Sofia Simba) kuweka wazi kabisa kwamba yeye na siasa za CCM sasa imetosha.
Ama kweli CCM vituko kuisha mwiko.
Bado Bashe au Bashite uwe unamalizia majina ya watu mkuu by the way tuthibitishie hii newsBado Bashe
Kama uyasemayo yana ukweli naye alihusika kutunyonya, vinginevyo angejiondoa mwenyewe mara baada ya kuhisi wananchi wananyonywa.Sophia simba kajikomboa toka kwenye mikono ya wanyonyaji
ZIlikua njaa na bendera fata mkumboMbona Waziri mkuu MKM alikuwa miongoni mwa watu waliosimama ukumbini na kuimba wimbo wa "Tuna imani na Lowassa"na hajafutiwa uanachama?
Ndiyo maana Taifa linakumbwa na misukosuko kila siku,kumbe hata sisi tusiomchagua tunaweza kuundiwa zengwe na kupoteza utanzania wetu,hii hatari sana.
Mods tafadhari pandisheni hiyo video ili jf iwasaidie hao viongozi kutendeana haki,wawafukeze wote walioonesha mapenzi/imani kwa mh.Lowassa.
Ndio wanakoelekea mtu visasi kwenye mambo ya kitoto. Huyo mama huwezi kumtreat namna hiyomtu aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali serikalini na kwenye chama chao. Anyway waache nao waisome namba lakiniHiki chama kinakoelekea ukibishana na mwenyekiti unanyongwa
Mchukueni tu maana namna jinsi tena kwani boss wake mnaye tangu 2015Sofia simba karibu sana cdm ili tuzidi kuisambaratisha ccm na waendelee kufukuzana hadi abakie lizaboni tu
kwani anatumia cheti cha sauli ?Lowasa huko aliko analia kwa uchungu
Mkuu alligestions zako zote ni chaka yaan sijui kama umepatia hata moja.Bado Bashe
Siyo ndege mkuu tumetuma ile yenye kasi ya bajaji.Hahahahahaaaaa. Nasikia tayari wameshatuma ndege Dodoma ili kumsafirisha kamanda mpya
Kwani ukikubali tu kuwa Majaliwa aliimba kuwa ana imani na Lowasa utapungukiwa na nini? Rudi tena na tena kutazama hiyo clip! Tatizo lenu ghafla mmesombwa na mkondo unaoamini katika visasi na chuki!Tangu linivulisikia kauli ya Mh. Majaliwa kumuunga mkono Lowasa??? Ulisikia akilalamika kuwa hakuridhika na maamuzi yaliyochukuliwa kumuengua Lowasa???
Hio video unamuona Mh. Majaliwavakiimba au amesimama kama ada iwapo Mwenyekiti anakuwa anaingia ukumbini??? Chadema acheni propaganda za kitoto....
Mkuu mama aliyesaliti chama hadi Msigwa kushinda naona katupwa nje.Safi sana. Wale waliokuwa wanamtetea Nchimbi waje hapa
Si ndiye wa Iringa.Wasimsahau Jesica Msavatavangu
Sio kila jambo linaanikwa mpk uamuzi huo umefikiwa jpm hajakosea amechambua taarifa za vyombo vingi vinavyomzunguka katika mamlaka yakewangefukuzwa wote au wengine walitubu?
Pia kwa utawala bora, wanachama wajulishwe sababu za kina za makosa yao ili isionekana kuwa na mawazo tofauti na wengi ndani ya chama ni makosa