jose tajiri
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 778
- 181
Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chochote kiovu kinachofanywa na chama tawala ni agenda ya Mpinzani hii sio kwa Tanzania pekee bali duniani kotesasa hivi CHADEMA wanasimamia ajenda gani? kesho utasikia watatoa matamko kuhusu maamuzi ya kikao cha CCM....kiufupi CHADEMA wanacheza ngoma ya CCM
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ikiwa chama kimeamua kukufukuza na unataka kuendelea kuwa ndani ya chama huku ukishikilia nafasi yako\zako, mfate msajiri wa vyama ili akurudishe kwenye chama na undelee kushika nafasi zako kama alivofanya kwa Lipumba.
Sofia Simba usipaniki, fata huo utaratibu, ni rahisi sana.
Kweli wewe nyumbu,uenyekiti wa UWT na msajiri wa vyama wapi na wapi?Ikiwa chama kimeamua kukufukuza na unataka kuendelea kuwa ndani ya chama huku ukishikilia nafasi yako\zako, mfate msajiri wa vyama ili akurudishe kwenye chama na undelee kushika nafasi zako kama alivofanya kwa Lipumba.
Sofia Simba usipaniki, fata huo utaratibu, ni rahisi sana.
[emoji15] [emoji23] [emoji276]Basi arudi kolomije
Sisi tunapokea tu kwa sasa hao hao mafisadi ambao mnaogopa kuwapeleka kwenye mahakama ya mafisadi ndo tunawataka. Una jingine?Watapokelewa na chaka la mafisadi chadema
Bruv mi nimeshaanza kuona na rangi ambazo hazionekani na binadamu wa kawaida..
But for god's sake jamaa kwenye maendeleo na kusimamia rasilimali za taifa nampa A+ ila kwenye democracy na ujuaji mwingi nampa BIG ZERO.. He can't be Economist, Lawyer, Accountant, Pay Master General, IGP at the same time. Apokee ushauri kidogo anaopewa. Ni kweli tunajua ana nia nzuri lakini huku mtaani aisee twafaaaaa...
wewe nawe mzigo!hata kama hao wajumbe ni wasaliti waachwe tu eti wasipunguze kura? wacha waondoke watakuja wengine wazalendo
Na Bashite!CCM siku zote huwa hawakurupuki kuchukua hatua. Na wakichukua maana yake wamejiridhisha! Hongera CCM kwa maamuzi mazuri. Bado Bashe!
U cant learn anything new when you are over 50 years.. Tukubali matokeo mpaka 2025..Hahahahaha, Bruv yani akijifunza hata kusikiliza kidogo tu basi atafika mbali sana.
Lakini akiendelea kukaza huu nafwazaaaa kwa njaa kaliii.
U cant learn anything new when you are over 50 years.. Tukubali matokeo mpaka 2025..
Mkuu kwa akili ya kawaida mtu aliyejiuzulu mwenyewe kwa matakwa yake na ambaye amefukuzwa ni nani mwenye haki angalau kidogoKesi ya Sophia Simba sawa na ya Zito Kabwe wote wametimuliwa kwenye vyama vyao hawajajiuzulu kama Lipumba.
Kesi ya Lipumba inakuwa sawa na Lowassa akitaka rudi CCM wamkatae labda!..
Msajili anaingiaje hapa kwani Zito Msajili alimsaidiaje alipotimuliwa?..Tupunguze mihemko!..
teh teh teh teh ila nyie aliwakomesha sana.. Pesa za majanga tutoe sie matumizi apange yeye..True bro, true.....
kama wewe "huna" chama mbona povu linakutoka hivyo? kwani hao wanachama waliofukuzwa ni wa CHADEMA? unaacha kujadili hoja iliyopo mezani unabwabwaja tu kama teja aliyeshiba unga au umbwa jike mwenye nye.ge? acha hizo ndugu yangu.Sio CHADEMA wala Sio CCM, tena afadhali huku CCM kwa sasa wanafagia fagia hakuna anaeona vizuri hasa watu wa chini wapo tu tunakoenda ndio huko huko, utamshangaa mtu wa CHADEMA pove linamtoka utadhani kwake hakuna udikteta, tena huyo Tundu Lizu nani wa kupinga wazo lake, semeni ukweli? Na Mbowe nani wa kumkosoa kwa sasa? Si umeona waliojaribu yaliyowakuta, na najua hamna uchaguzi wa Mwenyekiti tena dah...
Siasa za Tanzania ni bora wale wasio na vyama lakini hawa mashabiki uchwara ambao hata katiba za vyama vyao hawazijui ni shida... wako kusubiri nani wa kumtukana na kuongea USHILAWADU badala ya kujadili hoja za msingi kwa maendeleo ya taifa hili..
CCM acha ifagie, wakimaliza tunasubiri kama CHADEMA na nyinyi mtafagia au hayo makombo waliotupa chini CCM ndio mtaokota kama kawaida yenu?
Maana hamtaki kujibidiisha na nyinyi mkae mezani mle chakula fresh sijaona hata program za kuelemisha vijana wenu kuhusu maono ya CHADEMA kila siku viongozi wenu kwenye makorido kulinda nafasi zao kwa kutafuta kashfa ya mahakamani au ya kuuchafua utawala, huku mkipata washabiki badala ya wanachama watakao kijenga chama.
Kwani mmeanza kupokea wasaliti?Dikteta uchwara katika ubora wake hataki kupingwa! Lakini wakati huo huo bado kawakumbatia wahuni, majangili, wezi, wapokea na watoa rushwa, wafitini na mafisadi ndani ya chama. Kama ilivyomshinda nchi chama pia kimemshinda kukiendesha huyu mkurupukaji.