Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Kesi ya Sophia Simba sawa na ya Zito Kabwe wote wametimuliwa kwenye vyama vyao hawajajiuzulu kama Lipumba.
Kesi ya Lipumba inakuwa sawa na Lowassa akitaka rudi CCM wamkatae labda!..
Msajili anaingiaje hapa kwani Zito Msajili alimsaidiaje alipotimuliwa?..Tupunguze mihemko!..
 
sasa hivi CHADEMA wanasimamia ajenda gani? kesho utasikia watatoa matamko kuhusu maamuzi ya kikao cha CCM....kiufupi CHADEMA wanacheza ngoma ya CCM
chochote kiovu kinachofanywa na chama tawala ni agenda ya Mpinzani hii sio kwa Tanzania pekee bali duniani kote
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
K
Kweli wewe nyumbu,uenyekiti wa UWT na msajiri wa vyama wapi na wapi?
 

Hahahahaha, Bruv yani akijifunza hata kusikiliza kidogo tu basi atafika mbali sana.
Lakini akiendelea kukaza huu nafwazaaaa kwa njaa kaliii.
 
hata kama hao wajumbe ni wasaliti waachwe tu eti wasipunguze kura? wacha waondoke watakuja wengine wazalendo
wewe nawe mzigo!
unajua Sophia alipomuimbia Lowasa ilikuwa kabla EL hajahama CCM?
Unajua kuwa mwenyekiti wa wakati huo alitaka kuwaburuza wajumbe na kumuweka mgombea wake bila ya kujali utashi wa wanachama wote? je ni dhambi kumpinga mwenyekiti pale unapohisi amekosea?

Hebu wewe tufafanulie unachokiita usaliti toka kwa SOPHIA SIMBA ni kipi?
 
Kule mwanza viongozi wa chadema wamefukuzwa na wamejiunga ccm ....so hakuna hatia na hao wa Leo kuhamia chadema , hayo ndo maisha ya Siasa.
 
Mkuu kwa akili ya kawaida mtu aliyejiuzulu mwenyewe kwa matakwa yake na ambaye amefukuzwa ni nani mwenye haki angalau kidogo
 
kama wewe "huna" chama mbona povu linakutoka hivyo? kwani hao wanachama waliofukuzwa ni wa CHADEMA? unaacha kujadili hoja iliyopo mezani unabwabwaja tu kama teja aliyeshiba unga au umbwa jike mwenye nye.ge? acha hizo ndugu yangu.
 
Kwani mmeanza kupokea wasaliti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…