Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

watu wa kuzimu hayo ndio maisha yao acha wavuane tu nguo,huku duniani waliishi maisha ya dhambi dhidi ya wanainchi wao......kesho tutasikia zamu ya wanachama wengine kutupwa kwenye lile ziwa la moto
 
Nina kavideo nilikofanya zooming ya Premier akiimba. Kwa mimi niliyesoma "profiling na intelligence analysia,crystal clearly he was singing willingly from the bottom of his "undevided" heart.
huo ni uswahili tu!
 
1d6bb09df98228f1e8166e9fcc51ab57.jpg




Nimeiona kwny JF twitter:

=========
UPDATES:

Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga



Sasa ndio wakati mzuri kwa UKWAWA kuwaandalia sherehe kubwa sana ya kuwakaribisha......HATARI.
Tuwaunganishe na wauzaji na watumiaji wa ngada na pooooda kwenye hiyo sherehe ya kuwakaribisha.UKWAWA Hoyee.....Makamanda Juuu....
 
Msimsingizie mzee wa watu...

Angekuwa ni mkereketwa wa Lowasa asingeishia hapo tu. Abgeliendeleza kama akina Sophia...

Halafu akina Sophia siamini kuwa wamechukuliwa hatua hizo kwasababu walipiga makofi...hapana
Kwahiyo umekubali aliimba? Kuimba siyo ndiyo ukereketwa wenyewe, ama?
Una ushahidi gani Sophia aliliendeleza na Majaliwa hajaliendeleza? Au kwa sababu huyo mwenyekiti wenu kasema na nyiye hewala!
 
Usaliti mbaya sana, tayari wameliwa misambwanda yao.....hahahahaaa..CCM hawapendi ujinga huu msimu. Utashabikia na familia yako huko ndani ukigundulika una ng'ata na kupuliza!
 
1d6bb09df98228f1e8166e9fcc51ab57.jpg




Nimeiona kwny JF twitter:

=========
UPDATES:

Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo:
1. Sophia Simba
2. Ramadhan Madabida
3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa
4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na
5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga


Tunaomba majina yao hao wenyeviti wa iringa, mara na shy twn, wengine hatuwafahamu
 
~~~~>>>Aende Chadema kuungana na Wema na Mama Wema................ Ina maana 2015 hadi sasa bado hawajayamaliza????
 
Chadema watatoa tamko la kuwapokea waliofukuzwa...sasahivi watakuwa wameishaanza kuwapigia simu za kuwashawishi waje....haya na hao chukueni muongeze mtaji maana inaonekans mtaji wa Lowasa haukutosha
 
Back
Top Bottom