Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
Tupitie walipopita tuone nani anaweza kuongoza vizuri wanawake wa chama chake.
Kabla ya hawa kuwe na Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa CUF, au Mwenyekiti wa CCM na yule wa Chadema n.k kwenye ngazi za taifa.. hao ndio watu wa msingi kuwasikiliza..
Huyu walikataa uchaguzi wa 2005 asidahaliane na wa upinzani kwani walimpania kuweka wazi mambo yake ya binafsi. Ila kama mdahalo unakuwa wa masuala ya nchi hapo mimi sioni haja ya kuogopana kwani kuna mdahili (debate modirator) mtu akitoka nje ya mada anamrudisha.
Huyo mwingine wa CHADEMA simjui, lakini tukianza na huyu Mama Simba naweza kusema mama wa CHADEMA lazima atakuwa bora zaidi kwa sababu huwezi kuwa mbaya zaidi ya Mama Simba alivyo.
Mama Simba anaulizwa kwa nini unataka vyeo vyote hivyo, uwaziri, ubunge, UWT, and so forth, anajibu, "Uenyekiti wa UWT ni almost ceremonial tu."!!!
Mwenyekiti wa chama cha wanawake anakwambia kwamba kazi yake yani ni titular tu. Eti uendesha chama ni kazi ya katibu. Ni kama figure head tu kawekwa pale. Kwa hiyo anataka nini, ujiko tu? Au apate sitting allowance za mikutano, maana anajua kitumbua cha uwaziri kinaweza kuingia mchanga 2010, maana ubunge wenyewe wa kupewa tu. Sasa huyo mtu atasaidiaje wanawake na chama chake kama cheo chake anakiona ni "ceremonial" ?????
Halafu akaendelea kuchemsha akasema something like "niko hapa naangalia ni jinsi gani nitamsaidia katibu ku run UWT." Sasa hebu nambie, mwenyekiti anachemsha hivyo kuhusu majukumu yake.
Anaulizwa kuhusu Rais kum-kampeinia kuhusu elimu yake, anasema "ulitegemea Rais aseme tuchague wasiosoma?" Yani anakubali kwamba Rais alimpigia debe!
Eti katika wanawake wote wa CCM duniani, ni huyu Sophia Simba ndio wamemwona poa!
Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!
Kuhani...! You made me laugh. It's incredible to hear I may say.
Habarindiyohiyo, that's a good analysis; hoping you'll be back soon as you seem to have more dataz as indicated below:
Ili tuwe an wigo mpana wa "kuwatandika fito" inabidi waandaliwe mdahalo wa wazi(online may be?)
binafis wa Chadema simfahami vema......lakini kwa nilivyomsikia Msomi Mwenyekiti wa UWT Waziri Sophia Simba(Mb) mhhh Kuhani kamaliza.....
Sindano ipi?dogo naona tokea Invisible akudunge ile sindano umekuwa na adabu sana...
Sindano ipi?
YNIM kapotezwa jumla jumla nini?
Sindano ipi?
YNIM kapotezwa jumla jumla nini?
Hii thread angetusaidia sana....mwambie apunguze hasira....... naona CEO(kama anavyoita mwenyewe) kamkalia kooni tehe tehe....heheheheee....na yeye nilimwonya lakini hakuwa msikivu. tatizo lake yeye anapenda kuniiga iga wakati anajua hana teflon coating niliyonayo mimi...ehehehehehehe....wenye wivu (wale wawili) wabusu gluteus maximus yangu (zangu) bwahahahahahahaaaaa
now watch, kuna mtu atahifadhi hii post na kuja kukumbushia baadae.
Huyo mwingine wa CHADEMA simjui, lakini tukianza na huyu Mama Simba naweza kusema mama wa CHADEMA lazima atakuwa bora zaidi kwa sababu mtu yeyote huwezi kuwa mbaya zaidi ya Mama Simba alivyo.
Mama Simba anaulizwa kwa nini unataka vyeo vyote hivyo, uwaziri, ubunge, UWT, and so forth, anajibu, "Uenyekiti wa UWT ni almost ceremonial tu."!!!
Mwenyekiti wa chama cha wanawake anakwambia kwamba kazi yake yani ni titular tu. Eti uendesha chama ni kazi ya katibu. Yeye ni kama figure head tu kawekwa pale. Kwa hiyo anataka nini, ujiko tu? Au apate sitting allowance za mikutano, maana anajua kitumbua cha uwaziri kinaweza kuingia mchanga 2010, maana ubunge wenyewe wa kupewa tu. Sasa huyo mtu atasaidiaje wanawake na chama chake kama cheo chake anakiona ni "ceremonial" ?????
Halafu akaendelea kuchemsha akasema something like "niko hapa naangalia ni jinsi gani nitamsaidia katibu ku run UWT"!! Sasa hebu nambie, mwenyekiti anayaeleza hivyo majukumu yake.
Anaulizwa kuhusu Rais kum-kampeinia kuhusu elimu yake, anasema "ulitegemea Rais aseme tuchague wasiosoma?" Yani anakubali kwamba Rais alimpigia debe!
Anasema anataka UWT iwe sehemu ambayo mwanamke akija na kesi za mume waweze kumwonyesha pa kwenda! Hiyo ndio vision yake na direction ya Jumuiya anayotaka "kumsaidia katibu" kuwapeleka!
Anasema, listen to this Asha, kiongozi wenu wa wanawake Tanzania anasema hiviii, "katika karne hii ya utandawazi mwanamke amepata majukumu zaidi, kwa sababu wanaume wamekosa kazi kutokana na technoloji mpya hii, siku hizi kazi za maofisini zimekuwa finyu, wanawake wanaweza kufanya kazi nyingi ambazo sio za kuajiriwa, inabidi wawezeshwe...!!
Yani Asha, nyinyi wanawake, Sophia Simba anamaanisha, you are good at, na muendelee kuwezeshwa kuwa good at, kusuka ukili, kupika maandazi, kuuza mama ntilie, kuchumishwa mboga!
I am not making this up, maneno hayo kwenye nukuu kayasema jana/juzi.
Halafu Waziri Simba mwisho akamtaja Rajab Maranda kama mfano wa wasomi ambao wamefanya ufisadi. Well, huyu Maranda bado hajashindwa kesi mahakamani, Waziri huwezi kutamka kwamba Maranda ni fisadi!!! Eti jamani Waziri wa Nchi ofisi ya Rais wa Tanzania hajui hicho kitu. Halafu una run campaign platform ya usomi?! Huyu ndio kiongozi wa Umoja wa Wanawake wa CCM, Taifa? Katika wanawake wote wa CCM duniani, ni huyu Sophia ndio wamemwona poa!
Hahahaha aa aaaaaaaaa!
Asante Kuhani, if this is actually what Sophia Simba said in her interview which I need extra motivation to listen to, then women who chose her in the first place do not have a clue of what are women issues and needs.
What a shame!!!