Man in the Middle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 486
- 1,034
Alipita bila kupingwa,Wapinzani wake walienguliwa.Salma Kikwete ni mbunge wa jimbo sasa!!
Ni koo zile zileMtu kama Salma Kikwete anafanya nini kule bungeni?
Miaka 10 inatosha kabisaSiyo viti maalum tu,
Hata wabunge wa kuchaguliwa ingependeza wangekuwa na ukomo wa mihula wapishe wengine.
Nenda kagombee acha fitina.Alipita bila kupingwa,Wapinzani wake walienguliwa.
Tume huru ifute viti maalum na badala yake viwepo vya makundi maalum tu kv walemavu, wavuvi , wastaafu, wachimbaji, wafugaji nk. Lakini posho na mishahara ya wanasiasa ipunguze pia !Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari 28, 2025, kwenye kongamano la kuadhimisha miaka 15 ya Taasisi ya ULINGO na miaka 30 ya Azimio la Beijing, Sophia Simba ameeleza kuwa Taasisi ya ULINGO, ambayo imefikisha miaka 15 tangu kuanzishwa kwake, imekuwa chachu kubwa ya kuwainua wanawake katika siasa bila kujali vyama vyao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
“ULINGO imekuwa na mafanikio makubwa. Tumeona wanawake wengi wakiwa wabunge, madiwani na hata vijijini akina mama wanajitokeza kugombea nafasi mbalimbali,” alisema Sophia Simba.
Reform itamke ukomo aina zote za ubunge.No reform no election
Aache ulafi,hela zote walizoiba haziwatoshi tuKachaguliwa na wananchi kutoka jimboni na wala siyo Mbunge wa Viti maalumu. Kwa hiyo ukitaka ubunge nenda kagombee
2020 hakukuwa na uchaguzi, ulikuwa ni uchaguzi wa kutimiza matakwa ya dhalimu Magufuli.Salma kikwete ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi hapa amezungumzia viti maalum!
Mamaangu anaweza kutafuta hela jasho lake, sio hizo za kujipendekeza.Mamaako huwa ana pointi? Mbona wengine hatumjui?
Na hakuna hata cha maana amewahi changia bungeni🙆♂️🙆♂️Mtu kama Salma Kikwete anafanya nini kule bungeni?
Roho za ubinafsi zimewajaa sana wale watu aiseeMtu kama Salma Kikwete anafanya nini kule bungeni?
Familia za viongozi wa zamani ni wabinafsi sana qumamae zao. I hate those guys a lot. Kujilimbikizia mali tu na kupeana wao kwa wao ndio vitu wanajua.Niwakati familia zawatu waliokuwa viongozi wakaepembeni wanaposhika madaraka hawana uwezo wakutatua machangamoto zaidi yakupata mali nakuwaza madaraka zaidi
Haaa! Mkuu huwatakii mema nini! Wajaribu waone.Hoja nyingine ya Lissu ni NO REFORMS NO ELECTION na yenyewe ichukueni basi ndugu Mbogamboga?!
Sawa!2020 hakukuwa na uchaguzi, ulikuwa ni uchaguzi wa kutimiza matakwa ya dhalimu Magufuli.
Kama wananchi ndiyo mnachagua wabunge aina ya huyo mama, basi nyinyi ni zaidi ya vilaza. Inakuwaje mtu hata kujenga tu hoja hajui, halafu mnamchagua kuwa mwakilishi wenu!!Kachaguliwa na wananchi kutoka jimboni na wala siyo Mbunge wa Viti maalumu. Kwa hiyo ukitaka ubunge nenda kagombee
Leo kaongea point sanaMwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa.