Pre GE2025 Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kule Kilimanjaro,Kuna Mh. SHALLY RAYMOND MUSHI, amekuwa viti maalum mbunge sasa ni miaka 25.
Bado anataka Tena kugombea😭😭😭😭
 
Sophia Simba ameamua kukopa mawazo ya mpakwa mafuta Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…