GE2025 Sophia Simwa apiga magoti Kageye kuomba Kura za Rais Samia, Kija Limbu na Roza Mussa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Mkoa Geita, Sophia Simwa amelazimika kupiga magoti mbele ya Wananchi wa Kijiji Cha Kageye Katika kata ya Nyachiluluma kuwaombea kura Dkt Samia Suluhu Hassan, Mhandisi Kija Limbu Ntemi na Roza Mussa ili wawe viongozi watakaopeleka maendeleo kijijini hapo.

Sophia amesema Kijiji hicho kilikuwa na miundombinu mibaya ya barabara, lakini kwa kipindi Cha mika minne ya Dkt Samia Suluhu Hassan na Roza Mussa walipokuwa viongozi wamefanya maendeleo makubwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kipindi hicho kijiji kikiwa na miundo mbinu mibaya raisi alitoka chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…