Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Du!.. umenikumbusha kuapload vyeti vyangu kwenye e-mail!
Teh vyangu eti nilimkabidhi mzee anitunzie nikijua ndo salama, mh ngoja niviupload namimi.Du!.. umenikumbusha kuapload vyeti vyangu kwenye e-mail!
ndio namalizia kufa kwa kicheko!ukuti ukuti, amnada amnada, unga upepo amdensia unga upepo amdensia.
Sikuku oyeeeee! Pole mwaya mwambie apige memkwa, akimaliza apige meskwa halafu aende mechukwa atajikuta anagraduate tena kwa mda mfupi sana.
Wa kusoma utupe mbinu hapa?