the mkerewe
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 232
- 14
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf
Kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.Mwanamke ukimsihi mara mbili achana nae zuga siku mbili atarudisha mwenyewe mawasiliano.
usimpige mwanamke dawa yake akijifanya anajua wewe poa alafu mwache aende hukoooo atakako.
Ni aibu kwa leo ukute mwanaume analia kisa mwanamkee kamzingua.
wewe hujui/hujawahi kupenda unajua kutaka......kua uyaone!!!!
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?wewe hujui/hujawahi kupenda unajua kutaka......kua uyaone!!!!
mjomba nina mtoto yuko darasa la tano na nafurahia sana namna navyosimamia hii sera yangu.inanipa fresh love everytimeHili jukwaa ni la kwa ajili ya watu waliofikisha miaka 18 na kuendelea! Wewe nenda FACEBOOK!
wewe unamatatizo mengi ndio maana umeamua ukimbilie umasaini, nahisi ungekuwa wangu ningekupiga kibuti ukiwa hata hujaingia chumbani kwangu.tena watu wa namna yako ndio huongoza kwa kupiga magoti chumbani na kububujikwa na machozi mbele ya mwanamke
mjomba nina mtoto yuko darasa la tano na nafurahia sana namna navyosimamia hii sera yangu.inanipa fresh love everytime
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.Kwa hiyo hao unaowachunia ni kina nani sasa?? Ahhh nimesahau una mtoto?? Mama yake yuko wapi???
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.Si utamaliza dunia nzima kwa mtindo huu :hand:
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.
Mimi ndio mwenyewe nataka mapenzi kabambe so i prefer having fresh love kwani hujitahidi ili asinikwaze.
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?
Aisee kwaheri SIRUDI TENA HUKU
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni