Sorry wanawake: Ni udhaifu kubembeleza mtu mke/demu/mchumba

the mkerewe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
232
Reaction score
14
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf

Kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.Mwanamke ukimsihi mara mbili achana nae zuga siku mbili atarudisha mwenyewe mawasiliano.

usimpige mwanamke dawa yake akijifanya anajua wewe poa alafu mwache aende hukoooo atakako.

Ni aibu kwa leo ukute mwanaume analia kisa mwanamkee kamzingua.
 
Hili jukwaa ni la kwa ajili ya watu waliofikisha miaka 18 na kuendelea! Wewe nenda FACEBOOK!
 
Sometimes guys do. it depends on the guy, and how far the relationship got lots of guys cry n their head because we learn at a young age to simply not cry, if something hurts dont cry. so ya
 
wewe hujui/hujawahi kupenda unajua kutaka......kua uyaone!!!!
 
tena watu wa namna yako ndio huongoza kwa kupiga magoti chumbani na kububujikwa na machozi mbele ya mwanamke
 
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?
 
Hili jukwaa ni la kwa ajili ya watu waliofikisha miaka 18 na kuendelea! Wewe nenda FACEBOOK!
mjomba nina mtoto yuko darasa la tano na nafurahia sana namna navyosimamia hii sera yangu.inanipa fresh love everytime
 
tena watu wa namna yako ndio huongoza kwa kupiga magoti chumbani na kububujikwa na machozi mbele ya mwanamke
wewe unamatatizo mengi ndio maana umeamua ukimbilie umasaini, nahisi ungekuwa wangu ningekupiga kibuti ukiwa hata hujaingia chumbani kwangu.
 
mjomba nina mtoto yuko darasa la tano na nafurahia sana namna navyosimamia hii sera yangu.inanipa fresh love everytime

Kwa hiyo hao unaowachunia ni kina nani sasa?? Ahhh nimesahau una mtoto?? Mama yake yuko wapi???
 
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?

Kwa mtindo huo naamini hutaishi muda mrefu haaa unafananisha watu na bidhaaa???
 
Kwa hiyo hao unaowachunia ni kina nani sasa?? Ahhh nimesahau una mtoto?? Mama yake yuko wapi???
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.
Mimi ndio mwenyewe nataka mapenzi kabambe so i prefer having fresh love kwani hujitahidi ili asinikwaze.
 
Si utamaliza dunia nzima kwa mtindo huu :hand:
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni
 
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.
Mimi ndio mwenyewe nataka mapenzi kabambe so i prefer having fresh love kwani hujitahidi ili asinikwaze.

Aisee kwaheri SIRUDI TENA HUKU
 
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?

:A S 13: sawa Mkerewe....wewe wajua zaidi....furahia maisha yako!!!:hand:
 
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni

Kwani umelazimishwa kufanya nini???
Nenda tu kasombe magonjwa huko....usisahau kuweka akiba ya mazishi tu!!!
 
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni

niwie radhi kama nitakuudhi......una ULIMBUKENI NA USHAMBA mkubwa sana.....hakuna aliyekushika,endelea.....dunia ya Mungu kanyaga taratibu!!!!:rain:
 
Back
Top Bottom