Sorry wanawake: Ni udhaifu kubembeleza mtu mke/demu/mchumba

Sorry wanawake: Ni udhaifu kubembeleza mtu mke/demu/mchumba

Kwa mtindo huo naamini hutaishi muda mrefu haaa unafananisha watu na bidhaaa???
ni lugha tu imeniteleza ila following the increased numba ya WANAVYUO (university) nimegundua ukimchukua binti mwaka wa pili ukakaa naye baada ya miaka miwili tu anaenda kwao na mimi naingiza kigori kingine cha chuo.
Vibinti vya chuo ni vimalaya ila ukiwa na mkwanja wa kukilisha kinatulia kabisaaa so after every two years napata mpya hapo nimeshampimisha HIV
 
:A S 13: sawa Mkerewe....wewe wajua zaidi....furahia maisha yako!!!:hand:
Kila raina ana haki ya kuishi anavyotaka ili mradi asivunje sheria. Sasa niambieni nimevunja sheria ipi ya Muungano au ya manispaa?

Kubembeleza naweza ila kiukweli kabisa fresh love used to turn my life on kwa hiyo SIJIPENDEKEZI NA SITAMBEMBELEZA MWANAMKE labda vyuo vifungwe nchi nzima.
 
twende zetu my dear.....!!!:A S 13::decision::hand::hand:
nendeni ila ukweli kawaida hujitenga na uongo, nendeni mkabembelezwe na hao wasiojua walipo totos wa kuwapata kirahisi.
Hivi ulishawai tembelea pale mabibo au SUA uone namna tunavyorudisha wapenzi wetu asubuhi jtatu?kwanza sitaki mtu wa kunigandaganda nataka just sparks
 
kua uyaone,ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Mkerewe......byeeeeeeeeeeeee!!!
 
Dena amsi,michelle,maria roza&lizzy mmemshambulia mkerewe unajua wakerewe ndo zao hz cjui wale kambale ndo huwafanya hvyo?
 
Kwani umelazimishwa kufanya nini???
Nenda tu kasombe magonjwa huko....usisahau kuweka akiba ya mazishi tu!!!
labda hujanielewa, simaanishi kuwa mimi ni gongagonga. Nakuwa na mtu sio zaidi ya miaka miwili hasa vimchumba vya Vyuo. Najihami sana kwani najipenda kuliko so nakichukua nakipima ngoma kikiwa mwaka wa pili najua kabisa kikimaliza chuo kitaondoka hapa mjini hapo nakifuta kabisa kwenye kumbukumbu zangu.

Siwezi hangaika na wasichana wa mitaani kwani wanawaza mno future kila siku anauliza lini utatangaza ndoa.
 
Kule kuna mtu anamsingizia rafiki yake anatafuta mume kumbe ni yeye kajichanganya kuandika
mungu mkubwa nadhani mumeona wenyewe kengine kanavyotafuta mume kiujanja kakisingizia mwenzake.Wanawake mpo wengi kama pikipiki za kichina na mnasababisha ajali kwa wazembe kama ilivyopikipiki ya kichina,mnaweza hata mkaua kwa kupendwa kama pikipiki ya mchina inavyomuua mpandaji
 
Dena amsi,michelle,maria roza&lizzy mmemshambulia mkerewe unajua wakerewe ndo zao hz cjui wale kambale ndo huwafanya hvyo?
nafikiri ni wale kambale ila vijana wa leo hawali kambale wanakula mapanki ndio maana wengine wanajiua kisa mwanamke
 
wewe Mrs Obama sikia mimi siwezi fanywa mjinga na mwanamke hata siku mmoja.Bidhaa zipo kibao sokoni ya nini nsubirie iliyopo kiwandani?

Ziko nyingi ila sio kama ile uliyoitema kila bidhaa inatofauti yake unaonekana wewe ni mgeni wa mapenzi kabisa pole kijana you have a long way to go. unajua wimbo wa end of the road????
 
Ipo siku utanasa na utayakana hayo maneno uyasemayo,hata mimi kuna wakati nilikuwa na fikra kama zako ila nilikwama siku moja,kula,kulala,kufanya kazi ilikuwa taabu sana,amini nakwambia kuwa kila shetania ana mbuyu wake sema tu wa kwako bado.
 
labda hujanielewa, simaanishi kuwa mimi ni gongagonga. Nakuwa na mtu sio zaidi ya miaka miwili hasa vimchumba vya Vyuo. Najihami sana kwani najipenda kuliko so nakichukua nakipima ngoma kikiwa mwaka wa pili najua kabisa kikimaliza chuo kitaondoka hapa mjini hapo nakifuta kabisa kwenye kumbukumbu zangu.

Siwezi hangaika na wasichana wa mitaani kwani wanawaza mno future kila siku anauliza lini utatangaza ndoa.

OOOOOOh afadhali umeweka wazi kuwa unajipenda kuliko, uko selfish huwezi kupenda wala kuangalia hisia ya watu wengine ndio maana unasema hivi kama uko selfish kihivi! nakubaliana na wewe unayosema yanawezekana sana kwako. ahsante kwa kurahisisha mambo brother
 
kaka nahis una frustration za kutosha af kibaya zaid hujielewi !!! this is not normal...
 
Nikilia nabembelezwaa.......
Nae akinuna namliwazaa......
Je wewe ushawahi kubembelezwaaaa.....?
 
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf

kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.mwanamke ukimsihi mara mbili achana nae zuga siku mbili atarudisha mwenyewe mawasiliano.

Usimpige mwanamke dawa yake akijifanya anajua wewe poa alafu mwache aende hukoooo atakako.

Ni aibu kwa leo ukute mwanaume analia kisa mwanamkee kamzingua.

inaonekana umetoka kulizwa karibuni sasa unatafuta kama ulionesha ubwege au la.... Kaka kila mtu analia , ilimradi ukililiacho kiwe na thamani ya chozi lako,,,,
 
Back
Top Bottom