Bandugu!!
Jamani, ghafla tu browsers zangu (Firefox/IE) haziwezi tena kuchukua data kutoka mtandaoni ingawaje connection kwenda ISP ni nzuri tu. Nimejaribu kutumia self diagnostic tool kwenye IE, lakini wapi!!! Nahisi kirusi kimeingia. Naomba msaada!!🙁