Sospeter Bajana your future is bright, acha utovu wa nidhamu una kipaji kikubwa

Sospeter Bajana your future is bright, acha utovu wa nidhamu una kipaji kikubwa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Leo nashuka hapa kumumpa Wosia

Kiungo wa Azam Sospeter Bajana kipaji kikubwa anacho japo kulikuwa na walakini kwenye jina lake

Mimi ni shabiki wa Azam fc kipindi unatumia jina la Brayson Raphael mbona hukuwa kiburi?

Au kitambaa cha unahodha ulichokivaa nusu msimu uliopita kipindi Agrey na sure boy wamefungiwa kimekupa kiburi?

Mimi Kama shabiki yako number moja juzi nmeumizwa sana na iko kitendo cha kutolewa na kurusha mikono juu mbele ya Agrey moris na Kali ongara au kisa ulicheza nao ni wachezaji wako ndiyo maana unawachukulia poa?

YOU NEED TO CHANGE MASTER
IMG_20220907_213203.jpg
 
Msamehe bure. Wachezaji wengi wa bongo hawajielewi ndio maana sisi kama TFF tumeruhusu kila timu isajili wake wenzao 12 ili waache viburi
 
Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Utashangaa ata wewe boss
 
Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Wapo wale wakina Lyanga pia..nilijua unatoza ushuru tuu kumbe hata mpira unaujua vizuri..
 
Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Mwamba unajua boli umenitajia shilingi za 6 za boli hasa huyo Novatus na Bajana.Viungo wa haswa haswa haoo.
 
Kuna dogo anaitwa Kelvin Nashon, Kuna Novatus Dismass halafu kaka yao Mzee wa kazi chafu Sospter Bajana.
Cha ajabu taifa stars inawanga'ng'ani kina mzamiru..
Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
 
Back
Top Bottom