Sospeter Bajana your future is bright, acha utovu wa nidhamu una kipaji kikubwa

Sospeter Bajana your future is bright, acha utovu wa nidhamu una kipaji kikubwa

Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
Mkuu enzi za marsha walikuwepo wengi sana hiyo pamba ilikua na watu balaa..vizazi vile wengi walikua wanajua mpira
 
Huyo nova Kama hajadanganya Umri atakuwa mchezaji wetu wa pili kucheza ligi za ulaya Kwa mafanikio,the boy is majestic namba sita Bora Tanzania baada ya Hussein Masha
Yuko zulte ana ubonda mwingi
 
Leo nashuka hapa kumumpa Wosia

Kiungo wa Azam Sospeter Bajana kipaji kikubwa anacho japo kulikuwa na walakini kwenye jina lake

Mimi ni shabiki wa Azam fc kipindi unatumia jina la Brayson Raphael mbona hukuwa kiburi?

Au kitambaa cha unahodha ulichokivaa nusu msimu uliopita kipindi Agrey na sure boy wamefungiwa kimekupa kiburi?

Mimi Kama shabiki yako number moja juzi nmeumizwa sana na iko kitendo cha kutolewa na kurusha mikono juu mbele ya Agrey moris na Kali ongara au kisa ulicheza nao ni wachezaji wako ndiyo maana unawachukulia poa?

YOU NEED TO CHANGE MASTER View attachment 2349970
Wewe bhana ungenyoosha tu maelezo. Mwambie aache bange, acheze mpira.
 
Habari yako ndugu,

Pongezi kwa nakala nzuri yenye mawaidha na tija kwa jamii. Hakiki kila mmoja ni kioo cha jamii yake.

Ndugu, nikiamini katika uchakataji wako wa mambo na uwezo wako wa fikra na ubunifu, naomba ukipendezwa, nipate kura, mawazo au mapendekezo yako juu ya nakala ihusuyo:-


Ahsante!!
Kura sikupi
 
Back
Top Bottom